Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

Jamaa anakuwa kijeshi jeshi kutwavnzima, halafu anatarajia pafomansi kitandani, kama siyo wendawazimu ni nini! Jinga kabisa, subiri akutane na wa romantiki sasa, mfyuuuu...
 
Jamaa anakuwa kijeshi jeshi kutwavnzima, halafu anatarajia pafomansi kitandani, kama siyo wendawazimu ni nini! Jinga kabisa, subiri akutane na wa romantiki sasa, mfyuuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya romantic tuwaachie tamthilia ambao wako uchumi wa juu sio sisi wa uchumi wa kati. Ukute unatoka kazini sasa unaambiwa ukipita Kariakoo nichukulie matunda wakati unafanya kazi Posta halafu unaambiwa gesi imeisha na Junior mwili unachemka ana homa. Yaani ni totally confusion.

Kila mtu ni romantic ila wamama pia mjifunze muda wa kuleta hoja zenu, maana nyingine mpk zinafanya nguvu za kiume zinapungua na ukirudi nyumbani unakuta mapokezi sifuri sasa utakuwaje romantic? Tuko romantic kwa michepuko kwa kuwa inajua timing zote za mahaba. Mtu unapokelewa kwa mabusu unabebwa mgongoni, unalishwa, unaogeshwa, unapakwa mafuta, unavalishwa kama mtoto mdogo. Yaani michepuko inafanya mambo kama anayofanya mama mzazi kwa mtoto. Ndio maana tunaipenda sana
 
Ulitumwa na nani uvamie machaliii wa Araaaa....

pigo za kifilipino ziache kwenya mamuvi yakina amzakhanun bana...
 
Hiyo ni ushamba zaidi, kuwa romantiki inaboresha mahusiano, ujeshi jeshi siyo ishu kabisa, na hiyo inaweza sababisha kumong'onyoka kwa penzi
Hahahah we unadhani u romantiki ndio wadhifa wa kustawisha penzi.

Utakuja kupigwa na butwaa siku ambayo utagundua mpenzi wako anakazwa na jamaa ambaye ni mbabe mbabe hivi na kauzu 🤣🤣🤣 au mvuta bangi hivi muhuni tu. Ndipo utalia na kusaga meno.

Ishi na mkeo unavyoona sahihi kwako usihangaike na mambo ya u romantiki sijui blah blah
 

Hizi tamthilia za wa mexico hizi zitakuja tengua mtu kiuno!!!
 
Huyo kuoa sio leo mkuu..ndo kwanza ako na 19 kama sio 20yr..bado Sana’a
Sasa kwa nini analeta vitu vya kifikirika wakati yeye mwenyewe kuvifanya haviwezi hata kidogo eti romantic mambo ya kifilipono unaleta bongo
 
Kijana punguza vingreza..kichwa chaniuma atii..
Maisha yanipeleke puta na wewe pia unipeleke puta!!hapana am sole[emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiingeereeza
 
kukuumiza kivip yaan mana kwenye uhusiano kukosana lzm sasa utaachana na wangapi
 
Hiyo ni ndoa sio filamu ya maigizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…