Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,755
- 5,177
Yaani hapo kuna mawili, kuwa provider au kuwa useless romantic guy. Kupata hybrid washukuru Mungu sanaWanawake wa kibongo hawajui maana ya kupendwa. Unaweza ukashangaa umeishia kumuandalia mwenzio mke,,,ukabakiwa na maumivu tu 🤣🤣🤣
Hybrid ndio kitu dada zetu wanataka ila hilo halipo! Its either awe provider au awe useless romantic na ndio maana unakuta umalaya hauishi maana anataka hela ila still abembelezwe hilo ni gumu kulipat kwa mtafutaji hela so lazma awe na kijamaa pembeni cha kumbebisha.Yaani hapo kuna mawili, kuwa provider au kuwa useless romantic guy. Kupata hybrid washukuru Mungu sana
Sasa usipomzoea mkeo unataka uzoeane na nani?Mazoea ya kizidi na mke wanyumbani ndo mwanzo wadhalau na ndoa inaaza kupitia mitihani.....kiufupi usizoani na mwana mke wakibongo ni hatari
😂😂😂😂😂 Kazi wanayo sana hawa wadadaHybrid ndio kitu dada zetu wanataka ila hilo halipo! Its either awe provider au awe useless romantic na ndio maana unakuta umalaya hauishi maana anataka hela ila still abembelezwe hilo ni gumu kulipat kwa mtafutaji hela so lazma awe na kijamaa pembeni cha kumbebisha.
Kanda ya ziwa,ndio wapo ila usiwe na mwingine atakusulubishaNikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' 😂
BadoooHizi muvi za kifilipino hakika zinawaharibu sana bana, sema tu hamjui.
Yaan nimeacha wote nimekuoa wewe, bado tu huridhiki kuwa nakupenda, nyie watu nyie loh
Cc Heaven Sent
Kuna,watu sio romanticCheka tu mkuu hakuna namna..mtu unajitahid kuwa romantic anaona kama unamletea drama aaaaagrrrrr
TrueHiyo ni ushamba zaidi, kuwa romantiki inaboresha mahusiano, ujeshi jeshi siyo ishu kabisa, na hiyo inaweza sababisha kumong'onyoka kwa penzi
KwaniniWe jinsia gani?
Uchumi wa kati bado unaongelea romantism?
Kabisa aiseh.mtu unakuwa romantic halafu anakwambia hataki drama cha!!Kuna,watu sio romantic
Kuna mahaba fulani unatakiwa uyafanye na kuna mahaba mengine ukimfanyia mpenzi wako dah ! Hakatai hata iwejeKabisa aiseh.mtu unakuwa romantic halafu anakwambia hataki drama cha!!
Nikimpata humu romantic guy wa kanda ya ziwa naomba nimuambie in advance, 'yes I do.!!' 😂
Kabisaaaa aiseKuna mahaba fulani unatakiwa uyafanye na kuna mahaba mengine ukimfanyia mpenzi wako dah ! Hakatai hata iweje
Don't listen to people's wordsunajitahidi kua romantic kushikana na bae, mara kukisiana njian, kwenda beach kumbe kuna watu wanasema, "ona lile fala lilivyotekwa".
nothing personal
huo ujinga wa "love doesnt ask why" ndo tulikataaDon't listen to people's words
Love doesn't ask why bana [emoji23][emoji23]