a right TO LIVE ANYWHERE,DO ANYTHING!
mzazi wako anapokupeleka shule ni kama ana invest vile.hategemei baada ya kumaliza masterz yako ya international relations USUKUME MKOKOTENI,AU UWE UNAFAGIA SUPERMARKET....just because ni HAKI YAKO KUFANYA UNALOAMINI!no way!
the same applies to your communities,hadi nchi uliyozaliwa!well ,i mean pro-lata
jioni njema basi dude!
life goes on!
kuna tetesi za ajali mbaya sana imemkuta msanii wa nyimbo za injili na inasadikika AMEFARIKI!nipe muda nilifuatilie hili
Wewe bora kaa kimya tu kabla hujajihusuru utupu wako.
huo ni uamuzi binafsi na sidhani kama una athari zozote katika maslahi ya kitaifa kulinganisha na mtu anayeibia BOT mabilioni ya ma shilingi na dola.
Ebana umecheki hizo picha hapo juu? Umeona jinsi watu walivyozungukwa na uchafu? Sasa nambie ni mtu gani mwenye akili ataishi na uchafu uliokithiri hivyo bila kufanya lolote?
Kuna moja hapo kuna njemba inakojoa kwenye maji halafu kuna jamaa kainama sijui kaangusha kitu kwenye hayo maji? Halafu tunajidai eti sisi ni ma genius? Lol
Wewe bora kaa kimya tu kabla hujajihusuru utupu wako.
yoyo kwa jinsi wabongo walivyo wameshindwa hata kukusoma ili waelewe unachomaanisha wewe,
yoyo yupo sahihi kabisa.
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!
Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....
Mtake msitake, sisi watanzania tumezidi ujinga.
Watu wako baa kila siku, si maofisa wa wizara hadi wahuni wa mtaani.
Ufanisi utatoka wapi na huu upuuzi, na chakuchekesha ni kwamba watu wanadhani ni sawa kuishi kama bongolala, yaani ni poa tu....f..k this!
Naudhika sana wabongo ambavyo hawatumii akili......najua hili suala ni pana sana.....nikianza kuorodhesha ufinyu wa akili za wabongo tutakesha....kila sehemu ninayokwenda matumizi ya akili kwa watanzania hayapo!!!
Ujumbe:Kwako wewe mtanzania....tumia akili sasa....zama za kufanya mambo kwa mazoea imepitwa na wakati....
Hahahaha shem hebu toa mifano basi sisi watanzania tusio na akili tuanze kuchangia...!
tehe tehe naanza na wewe mfano halisi...tumia akili kujibu hoja kwanza.....mleta hoja ndo mjinga number moja akishindwa kutetea hoja yake kwa mifano.
bwa ha ha ha ha watz bana ....bado tu hujaona wapi hamtumii akili?Inachekesha kuona mtu asivyotumia akili kutoa post inayolaani watu wasivyotumia akili.
Alafu cha kushangaza watu wanabaki kulaumu serikali badala ya kuchukua jembe na kuchimba mitaro kujiondolea karaa na baadae chagua viongozi wanaofaa..
Arifu mie nashangaa sana jamaa wmewaka hasira...siwalaumu...nao ni vipofu wa akili wamerithi toka kwa baba zao na watawala wao.....Ebana umecheki hizo picha hapo juu? Umeona jinsi watu walivyozungukwa na uchafu? Sasa nambie ni mtu gani mwenye akili ataishi na uchafu uliokithiri hivyo bila kufanya lolote?
Kuna moja hapo kuna njemba inakojoa kwenye maji halafu kuna jamaa kainama sijui kaangusha kitu kwenye hayo maji? Halafu tunajidai eti sisi ni ma genius? Lol