kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
- Thread starter
-
- #81
Kwahyo sisi wenye familia hatuna majukumu, kisa tuu hakuna NDOA, akili yako ndio ilipoishia Kwa kua una minyororo Kwa kua mtumwa wa dini sikulaumuUnapoishi na mwenza bila ndoa ,,basi wote mnahesabika kama wazinzi.
Hata ukifa usingizini ukiwa na huyo mwenza wako unahesabika kama umekufa kwenye uzinzi ..
Nilichojufunza kuwa vijana wengi wa hovyo wanaogopa ndoa kwa sababu kuu 2..
-- majukumu
-- commitement..
Hakuna kitu kijana wa hovyo anaogopa kama kuwa na majukumu..
Haijalishi nmeandikaje, kikubwa umeelewa ndio lengo languUjumbe wako n mzuri ila umeandika kihuni huni.
Kuna mambo yanaendelea huko makanisani na kwenye hizi dini ni aibu. Mtu wa kipato cha kawaida au cha chini utanyimwa kupewa huduma fulani kwa sababu fulani ila tajiri atapewa huduma hiyo hiyo bila kusita hata kama sababu ya kunyimwa ipo.
Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.Kwahyo sisi wenye familia hatuna majukumu, kisa tuu hakuna NDOA, akili yako ndio ilipoishia Kwa kua una minyororo Kwa kua mtumwa wa dini sikulaumu
Namimi SIFUNGI NDOA, maana SITAKI KUONA CHA MTEMA KUNI MAANA NDOA NI UTAPELI, hivi tunavyoishi ndio poa akileta za kuleta Kila mtu anashika njia yake.Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.
Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.
Sheria zitakubana..
Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...
Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.
Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..
Shida Hawa waliofungishwa ndoa wanatupangia sanaKufunga ndoa mara nyingi ni kutafuta kutawaliwa na nguvu za nje kama makanisa, misikiti na serikali.
Sio Lazima kufunga Ndoa lakini kwenye ulimwengu wa kitapeli ndoa ni muhimu.
Sisi Watibeli hatufungishwi Ndoa.
Hakuna mwenye mamlaka Duniani wa kutufungisha ndoa wala kuivunja ndoa yetu.
Ila hatuingilii wale wanaofungishwa
Kwasababu wewe ndio mamayake na babayake sawa, sitambuliki ukweli kutokana na maneno yako wewe baba yakeKama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.
Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.
Sheria zitakubana..
Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...
Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.
Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..
Kama unaishi na mwenza wako na hutaki ndoa unaogopa majukumu.
Hapo ulipo unauwezo wa kumfukuza huyo mtoto wa watu muda wowote.,na hakuna wa kukuuliza sababu huna ndoa nae.
Lakini ukishapiga pingu ya maisha huwezi kufukuza mke kiholela.
Sheria zitakubana..
Pia hapo ulipo hutambuliki ukweni zaidi ya watu wawili watatu wanaokutambuwa.
Hata baba mkwe na mama mkwe kuja kwako pia haiwezekani...
Kama kidume oa basi,,uone cha mtema kuni.
Hapo ndy vijana wa hovyo mnapaogopa..
Vijana wa hovyo mnaogopaNamimi SIFUNGI NDOA, maana SITAKI KUONA CHA MTEMA KUNI MAANA NDOA NI UTAPELI, hivi tunavyoishi ndio poa akileta za kuleta Kila mtu anashika njia yake.
Kwa kua umethibitisha mwenyewe kua Ukifunga NDOA nitaona cha MTEMA KUNI namimi sitaki stress siwezi kufunga ndoa, wewe umeshaingizwa mkenge endelea kukiona cha MTEMA KUNI
Kwasababu wewe ndio mamayake na babayake sawa, sitambuliki ukweli kutokana na maneno yako wewe baba yake
Akili za Hawa jamaa zinanichekeshaga sana, dini inawaendesha sana hawajui watu walishaishi, na familia zilishakuepo hata kabla ya dini kuwepoMwambie hata kama hutambuliki kwani umeoa mtoto Mdogo?
Mtoto mdogo ndiye unaoa kwa ridhaa ya wazazi.
SureAkili za Hawa jamaa zinanichekeshaga sana, dini inawaendesha sana hawajui watu walishaishi, na familia zilishakuepo hata kabla ya dini kuwepo
Akili za Hawa jamaa zinanichekeshaga sana, dini inawaendesha sana hawajui watu walishaishi, na familia zilishakuepo hata kabla ya dini kuwepo
Sawa mkuu,,ila piga pingu za maisha..Kwasababu wewe ndio mamayake na babayake sawa, sitambuliki ukweli kutokana na maneno yako wewe baba yake
Usimtishe,huyu anajitambia. Apongezwe[emoji122][emoji817][emoji3581]Kosa halirekebishwi kwa kufanya kosa Mkuu, ni haki na uhuru wako kuishi utakavyo as far as huvunji sheria.
Ila hiyo haiondoi maana na msingi wa issue kama ndoa na kipaimara kwa waumini wa dhehebu husika
Ie we ishi utakavyo ila jua taratibu zipo tu, kuna siku utajikuta umenasa unahitaji huduma ya imani yako hapo utaona umuhimu wa kutii bila shuruti.
Kufunga Ndoa ni hatari sana lakini kufungishwa Ndoa tena na Mungu mwenyewe ndio kuna usalama!. Ana hoja asikilizwe!Mimi naishi na mwanamke ambae HATUJAFUNGA NDOA, ila Sasa cha kushangaza ni watu huko kanisani mwanamke anapoenda kutwa kumshauri eti tufunge ndoa, majirani wale wenye ndoa kutwa kumshauri shauri tuu, Mimi naishiaga kuwaambia tuu NDOA SIFUNGI
ni kama ishu ya kipaimara/kubarikiwa Mimi tokea Niko darasa la saba nilishakimbia hayo mambo, na Leo hii wale waliobarikiwa 90% nnaowajua ni wavuta bangi,walevi na wamechoka mbaya (kipindi tukiwa shule ya secondary walinitabiria Mimi eti nitakua na maisha magumu kwakua sijabarikiwa/sijapata kipaimara, lakini kwasasa wao wamechoka sana Mimi Niko vzuri.
Hawa wanaonishauri Mimi nifunge ndoa unakuta mtu ana miezi SITA kwenye ndoa, wengine ndoa zimevinjika zimewashinda Mimi watanishauri Nini???
Nyie mnaoenda kanisani mnajiona sana Yani mnaona kama yesu sijui ni mjomba wenu au ndio mnamjua mungu sana! ACHENI KUKARIRI MAISHA
Mambo ya kufunga ndoa Kwa Sasa minaona kama ni JANJA JANJA TUU, kama nataka kuishi na mwanamke naishi nae sio lazima ndoa.
Eti utakuta mtu kwakua alikua haendi kanisani huko KKKT siku anataka kufunga ndoa mchungaji anamkataa anasema hamtambui kwakua sio mshirika! Halafu utakuta mtu anapaniki kabisa Kwa kukataliwa kufungishwa ndoa kanisani [emoji1787][emoji1787] unapaniki Nini wewe ACHENI upumbavu
Sawa kamandaHaijalishi nmeandikaje, kikubwa umeelewa ndio lengo langu