Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Sio kweli. Uki over stay ni kosa lakini ukiamua kurudi kwenu unarudi tu bila shida. Kitakachokufanya usirudi kwenu labda ni kukosa nauli ila sio kwa kuogopa kosa la kuishi kinyume na sheria, hata ukiondoka watakachofanya ni kukupiga ban tu muda kadhaa
Uk ku-over stay ni kosa! Nenda site ya UK border agency kacheki! Sijui kwingine!
Watakupa grace period ya muda fulani, ila kuna baada ya miezi fulani kama sik wiki kadhaa ni kosa, kubwa tu la kinyume na uhamiaji. Kuna watu wamekwama sababu wako kwenye dilemma, utafunguliwa kesi na ukimaliza kesi unarudishw kwenu na ban unakula. Kwa obama na kwengine sijui kama ni kosa au la!
 
Mmmm, wabongo katika ubora wetu... haya bwana, ilimradi tusisahau hii siku ya leo, haya ndio maisha, ndo tuko kwenye process ya kuishi hivyoo... maisha hayaji mara mbili, hata ufanye nini hapa duniani, hata useme nini...
 
Uk ku-over stay ni kosa! Nenda site ya UK border agency kacheki! Sijui kwingine!
Watakupa grace period ya muda fulani, ila kuna baada ya miezi fulani kama sik wiki kadhaa ni kosa, kubwa tu la kinyume na uhamiaji. Kuna watu wamekwama sababu wako kwenye dilemma, utafunguliwa kesi na ukimaliza kesi unarudishw kwenu na ban unakula. Kwa obama na kwengine sijui kama ni kosa au la!
Umesimuliwa au?! Ukiamua kuondoka mwenyewe hata uki overstay miaka 100 ndio kwanza wanashukuru maanake umewaokolea hela ya wao kuku-deport! Kwa kifupi uki overstay unaweza kuondoka muda wowote hamna mtu atapoteza taxpayers money kumshtaki mtu alieamua kuondoka. Na hata wakikukamata barabarani wanakurudisha,kukushitaki na kukufunga ni gharama kuliko kukurudisha.
 
Kwenda mbele kuna matatu" either urudishwe bongo umekufilia mbali" urudi kapuku na kuanza Moja...au urudi umewini hyo inatokea wachache"

Na wengne wanarudi na Mawazo tuu tuu kama le degree3 bwana Lemutuzz Big Man..
 
Kwanza elewa maisha yako popote na hakuna elimu kubwa kama kutembea ukiwa na malengo chanya. Ninachofahamu Watz tuna roho ya kwanini kwani hata uzi wako unaonyesha kabisa kuwa hauwatakii mafanikio isipokuwa wafeli maisha na kulingana na wewe ama uwazidi kimaisha. Kwa kifupi ni hivi hata mimi niite mbeba box lkn tayari nina mpango wa kupeleka mdogo wangu kusoma ng'ambo baada ya kupewa offer hiyo kupitia mwenyeji wangu na kuzamia kwangu aka kubeba box. Ninachokiomba kwa mungu ni afya na anilinde kufikisha malengo yangu, nikifanikiwa asante mungu nikikosa pia asante mungu na sitakata tamaa japo sijutii na naona nilichelewa.
 
Uk ku-over stay ni kosa! Nenda site ya UK border agency kacheki! Sijui kwingine!
Watakupa grace period ya muda fulani, ila kuna baada ya miezi fulani kama sik wiki kadhaa ni kosa, kubwa tu la kinyume na uhamiaji. Kuna watu wamekwama sababu wako kwenye dilemma, utafunguliwa kesi na ukimaliza kesi unarudishw kwenu na ban unakula. Kwa obama na kwengine sijui kama ni kosa au la!
Wewe hebu achana na habari za vijiweni
 
Kwenda mbele kuna matatu" either urudishwe bongo umekufilia mbali" urudi kapuku na kuanza Moja...au urudi umewini hyo inatokea wachache"

Na wengne wanarudi na Mawazo tuu tuu kama le degree3 bwana Lemutuzz Big Man..
Na kubaki bongo kuna matatu
1.ufulie ukose hata hela ya sabuni
2.uajiriwe ugange njaa maisha yako yote ambao ndio wengi wanaangukia hapa wakiwemo wengi wanaochangia hii thread
3.u-win na inatokea kwa wachache sana tena saaaaana.
 
Kwaio tujifunze kitu" maisha kila sehem ni taff hakuna miteremko"
 
Wakiwa huko mbelez we roho inakuuma sana eeh???
Pilipili iko shamba wewe inakuwashia nini?
Wala vumbi mna shida sanaaaaaa

Yaani ndo umenitelekeza kabsa huku dunia ya tatu ili niendelee 'kula vumbi' eeh? vibaya ivyo
 
Les Miserables

RELAXING+HOME+1+007.JPG
 
Hata baba yako aliondoka kwenu kijijini kigoma kuja mjini dar kutafuta riziki. wengi walimwonea wivu huko kigoma siku ile anapanda treni kuja dar es salaam.
Haisadii,Kigoma ni Tanzania na kwenye kubeba box si Tanzania,kama na wewe ni mmoja wa wabeba box na baado unahesabu miaka rudi uje uanze kilimo cha bamia,kinalipa kuliko kuogesha vibabu
 
Dah haya bwana..hivi matokeo ya green card ni tarehe ngapi?

Msidanganyike bwana kupiga box kunalipa sana hasa ukiwa na elimu...ila ukisema uondoke bongo na bla bla lzm urudi mtupu
 
Kazi ya ukuli majuu
Sio sawa, hujapatia. Kubeba box ni kufanya kazi zisizo professional ukiwa nchi za watu mfano kudeliver pittza, kusambaza adverts kwenye letterboxes, lakini zile professional km aged care, nursing home errands, security sio kubeba box
 
kuna jamaaa yangu alikaa USA zaidi ya miaka 28 amerudi mpaka mitaa ya kwao Buhuruni haikumbuki lakini yupo choka mbaya...kafikia kwa dada yake kapewa chumba cha uani..hana mbele wala nyuma
 
Hv nikitaka kuzama huko kupiga issue hzo wengine wanazo dharau nfwate hatua han au vp nizamie......maana wengine nyota zinasuasua hapa bongo........???
 
Back
Top Bottom