Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Uzi una ukweli mtupu huu.
Wapo wengi sana, wengine visa zilishaisha sasa ni illegal migrants huko huko, wakiwaona polisi wanakimbia na kurudi hawawezi kwa kosa la ku-over stay visa zao. Wapo kwenye limbo state, full stress na maisha ni ghali sana huko.
Kwa kweli wengi wana hali mbaya sana huko, wangejilipua tu warudi au waende ktk balozi huko kwa msaada zaidi.
Wengi huwa wanapelekwa na ndugu zao wanawadanganya kuwasomesha au just a visit wakisha kanyaga huko na Visa ya miezi 3 ikiisha wanaanza kuwatumikisha ki utumwa ndugu zao wa damu....... Neema yao ni either uolewe au uoe raia wa huko.
 
Kahudhurie DICOTA convention kule Dallas mwisho wa mwezi ndio utapata picha diaspora ina wabongo wa namna gani
Pengine utakutana na hao wanaotumikishwa utumwani
 
Back
Top Bottom