Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Waliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.
Sasa wamefika kwenye capitalist World na wameshindwa kutusua. Wamejaribu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu mpaka wengine wamejaribu kwa miaka kumi ila mwishowe wamekata tamaa na kuamua kurudi nyumbani Bongo.
Sasa tulitegemea watakaporudi warudi na mali walizochuma huko, ila mwisho wa siku wamerudi na ndoto tu za kuja kuanza kutengeneza maisha huku Bongo.
Tunawakaribisha sana nyumbani, Nyumbani mtu hafukuzwi. Nawakaribisha na wengine walioshindwa kutusua huko ughaibuni mwache kubeba box mje hapa nchin tushirikiane kulijenga taifa. Sasa hivi opportunities nyingi zipo katika nchi zinazoendelea. Wenzetu wako saturated kwa kuwa wameshajitosheleza kwa kila kitu hivyo opportunity mpya sio nyingi na rahisi hasa kwa ngozi nyeusi.
Karibuni nyumbani wabeba box wooote... Njooni mumuone kaka yenu Le Mutuzi huku akitoa mfano wa kuigwa kwenye ujasiliamali...