Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Honestly, one can detect so much hate kwenye post za namna hii na kwenye comments kama hizi...

...is it possible labda kuna vitu unaviona wanavyo hao nduguzo na haikufarahishi, vinakufanya ujione inadequate and inferior? Au labda unaona hao ndugu zako hawa-deserve kuwa na hiyo experince/exposure ya uingereza na kuongea hiyo lugha ngeni? Au labda wewe kuongea vibaya kuhusu hao ndugu zako kunakufanya ujisikie vizuri?

Inamaana hao ndugu zako hawana namna kabisa ya maisha? Au ndio wamerudi kutoka masomoni na wako kwenye harakati za kuendelea kutafuta maisha? Maana wewe unavyoongea, ni kama vile hao ndugu zako walienda huko uingereza kwa kazi maalumu kujiharibia maisha, na sasa wamerudi wakiwa wameshatimiza azma yao.
Sidhani kama huyo unamueleza haya ana upeo wa kuelewa ulichoandika. Otherwise asingetoa hio statement, akili za huyu na wengine wengi tu ni kuwa ukienda Ulaya/US lazima urudi na $$$$$ nyingi,umejenga maghorofa kumbe kuna watu wanarudi na cheti tu/ideas tu na baada ya muda mfupi wanafanikiwa. Uwanja wao humu humu mitandaoni huko kwenye vibarua vyao wanateswa na Wakenya wenye exposure za Nairobi.
Mtu katoka Mbwinde kapata kiajira mjini anaanza kudharau hata ndugu zake!
 
Mkuu watu wanajua kufanya generalization sana tu.... Mimi nimesafiri nje Mara nyingi Na kuonana Na watanzania huko wanaishi vyema tu. Tatizo wengine wanataka pa kuongea kuputia wachache waliorudi wakiwa na hali ambayo sio nzuri kifedha. Wanadahau wengine wamelizwa na ndugu zao when they were sending money kujenga na hakuna kilichofanyika....
Watu kama hawa wanachokoza nitaje michongo yangu hapa.

Kesho waseme Kiranga anajigamba kama mtoto wa Profesa Mutabazi.

Halafu keshokutwa waje kunipiga mzinga.

Suffice it say that what I pay in taxes in one year alone is more than viinua mgongo vya wafanyakazi wa kawaida kumi wa Tanzania.

Na mwaka huu naongeza nyumba mji mkuu wa dunia hawa hawa wabongo wanaosagia wakija kufuta tongotongo wapate pa kufikia bila kodi.

Huku tunasajiki patents tu, halafu tunakula royalties kama tumetoa albumbya Thriller.

Wananikumbusha wimbi wa Sikinde.

"Waache waseme, mwisho watachoka. Ngoma ya Sikinde. Tunaiendeleza."
 
Nimerudi bongo likizo nimemkuta mshkaji anabeba box kwa wahindi, bongo.

Nilimuacha miaka kumi kabla anabeba box hivyo hivyo kwa wahindi.

Wanaovuma wabeba box wa nje, kumbe hata bongo wapo.
Mkuu kubishana na mleta mada ni kupoteza muda wako
He's just a jerk
 
Asikudanganye mtu,wengi choka mbaya.
Mtu anasota miaka kumi,ndio kwaanza ananunua kiwanja Chanika,wakati wewe una nyumba tayari.
Wengi wanaona aibu kurudi,lakini ukweli ni kwamba wanapoteza muda mwingi kwa kipato kikubwa na makato ya kodi makubwa na matumizi makubwa.
Bongo nouma wewe,Mama lishe anamiliki nyumba kwa mtaji wa laki moja,maisha ni kujipanga tu mkuu.
Waliotusua Majuu na South ni Zamani sana,ila kwa sasa hakuna issue kabisaaa.
Officially nimeanza kukudharau leo aisee! Najua haina impact but just to let u know ulichoandika hakina fact
 
USA baby
upload_2016-4-7_16-20-12.png
upload_2016-4-7_16-20-13.png
upload_2016-4-7_16-20-16.png
upload_2016-4-7_16-20-17.png
upload_2016-4-7_16-20-21.png
upload_2016-4-7_16-20-21.png
upload_2016-4-7_16-20-22.png
upload_2016-4-7_16-20-23.png
upload_2016-4-7_16-20-24.png
upload_2016-4-7_16-20-24.png
 
Third world na first world??? Hujajua wanavyoishi huko wengi wao ndo maana wasema hivi. In fact, huku ndo first world na kule third world kwao, sio wote ila wengi.
First world bongo?? Wewe mgonjwa nini?? Umeme shida, maji ya ndoo, miundo mbinu mibovu.. Sipakandii home maana ndio nakoishi ila ukweli lazima usemwe.Uzuri mie nimeishi huko pia, kulinganisha huko na huku ni sawa na mlima na kichuguu.. Bongo watusuaji 99% ni majipu uchungu na sugu.. Time will tell.
 
Hajui ni kwanini hayo mataifa yanaitwa first world...
Watu kama hawa, wakati watanzania walio wengi wanahangaika na umeme wa kuchombeza, wao wanayo majenereta waliyoyanunua kwa pesa za kifisadi, wakati watanzania walio wengi hawana miundo mbinu rasmi ya maji safi na salama, wao wanatumia maji ya kununua kwa pesa za kifisadi, wakati watazania walio wengi wanatibiwa magonjwa makubwa kwenye vituo vya afya na zahanati, wao wanakwenda huko "first world" kutibiwa mafua... Hajui kwamba hayo mataifa yamepewa status ya "u-first world", sio kwasababu kuna watu wachache wametusua kimaisha, bali ni kwasababu taifa zima limetusua kwa ajili ya wananchi wake wote.

Alafu huyu mtu utamkuta yuko hapa jf busy kutetea makitu ya uovu na ya ajabu kabisa yanayotendeka kwenye hili taifa lenye uchumi na watu maskini...
 
Trust me huyu hayuko kwenye kundi hilo, ni muhangaikaji tu. Waliopo kwenye hilo kundi watoto wao,ndugu zao lazima wapite au waishi huko wanapopaponda.
 
Watu kama hawa wanachokoza nitaje michongo yangu hapa.

Kesho waseme Kiranga anajigamba kama mtoto wa Profesa Mutabazi.

Halafu keshokutwa waje kunipiga mzinga.

Suffice it say that what I pay in taxes in one year alone is more than viinua mgongo vya wafanyakazi wa kawaida kumi wa Tanzania.

Na mwaka huu naongeza nyumba mji mkuu wa dunia hawa hawa wabongo wanaosagia wakija kufuta tongotongo wapate pa kufikia bila kodi.

Huku tunasajiki patents tu, halafu tunakula royalties kama tumetoa albumbya Thriller.

Wananikumbusha wimbi wa Sikinde.

"Waache waseme, mwisho watachoka. Ngoma ya Sikinde. Tunaiendeleza."
Huyo katoka Mbwinde huko anakuja mjini analeta ujuaji. Anafikiri kila mtu alienda nje kwa kuzamia meli au kubangaiza.
 
Nimerudi bongo likizo nimemkuta mshkaji anabeba box kwa wahindi, bongo.

Nilimuacha miaka kumi kabla anabeba box hivyo hivyo kwa wahindi.

Wanaovuma wabeba box wa nje, kumbe hata bongo wapo.
Kwani hawa wanaopiga kelele humu wana nini cha ajabu? Wengi mabosi wao Wakenya na Waganda wanawakimbiza na elimu za Nairobi tu hapo!
 
Asikudanganye mtu,wengi choka mbaya.
Mtu anasota miaka kumi,ndio kwaanza ananunua kiwanja Chanika,wakati wewe una nyumba tayari.
Wengi wanaona aibu kurudi,lakini ukweli ni kwamba wanapoteza muda mwingi kwa kipato kikubwa na makato ya kodi makubwa na matumizi makubwa.
Bongo nouma wewe,Mama lishe anamiliki nyumba kwa mtaji wa laki moja,maisha ni kujipanga tu mkuu.
Waliotusua Majuu na South ni Zamani sana,ila kwa sasa hakuna issue kabisaaa.
Aisee kweli kazi ipo.....Sasa kelele zoote naona 'nyumba' kwako ndio mwisho.
 
Trust me huyu hayuko kwenye kundi hilo, ni muhangaikaji tu. Waliopo kwenye hilo kundi watoto wao,ndugu zao lazima wapite au waishi huko wanapopaponda.

hahahahaha... basi ni wale ambao hawa wengine wakiwa wanataka kubadilisha wardrobe zao wanamuita akachague nguo kabla hawajazipeleka charity shops...
 
Back
Top Bottom