Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

Wabeba box wengi wamerudi na ndoto...

kuna jamaaa yangu alikaa USA zaidi ya miaka 28 amerudi mpaka mitaa ya kwao Buhuruni haikumbuki lakini yupo choka mbaya...kafikia kwa dada yake kapewa chumba cha uani..hana mbele wala nyuma
Alienda akiwa na elimu gani? Malengo ya safari yalikua nn?

Don't use just bad examples of unlucky punters
 
Les Miserables

RELAXING+HOME+1+007.JPG
mkuu huyo nani aliyelala na viatu daining room????? kama namjua hivi. au ndo akili kubwazzz
 
Y'all sick to the bone, while we flip silicone
We be making deals to the dome 'til Armageddon
We be stacking papers, not money, bank statements
While you slacking, vapors, no honey and no basement
My budget for cologne outranks your GDP
Per capita alone, you're not my pedigree
I retired retiring, so never coming back
Don't get me firing, on a sneak attack
I could dissect your sect with effect and precision
But you are unworthy of that decision
I'm into real estate, you're into realest hate
How the freak you're gonna love when your late to the plate?
How the freak you're gonna love when your real is fake?
I'm international, New York to Osaka
You rookie pygmies ain't been to Malampaka
 
Vijana wengi wa kiafrika waliokwenda ulaya au marekani kazi rahisi kuzipata ni za kwenye maduka na supermarkets. kazi zenyewe zinakuwa hasahasa ni kubeba maboxi ya bidhaa mbalimbali na kuyapanga au kupanga bidhaa vizuri ndani ya duka. inaweza kuwa kubeba box toka store hadi dukani au kutoka sehem moja hadi nyingine ndani ya supermakert. ndio maana hawa wanaitwa wabeba box.
Aah...ok..Asante Kig kwa kunielewesha.
 
Ni kitendo cha kuinama unaacha makalio wazi huku nyuma mzungu anakufanya kitu mbaya! Si unajua unapotaka kubeba mzigo mzito lazima uiname? Mwulize Mzee Mwanakijiji, Nyani Ngabu, King'asti (huyu yeye huwa anashuhudia kaka zake wanavyosota), Le Mutuz yeye yalimchosha akaachia kamba!
Duuuuh!!!!!!! Kaaaazi kweli kweeeel.
 
Kitambo sana, ulipotelea wapi?


Nipo dada'ake. Mishe tu za kitaa sometimes zinaizidi mpaka foleni ya net za mgao. Ndo maana nakuwa sionekani umu. Ni gani huko dunia ya kwanza
 
kuna jamaaa yangu alikaa USA zaidi ya miaka 28 amerudi mpaka mitaa ya kwao Buhuruni haikumbuki lakini yupo choka mbaya...kafikia kwa dada yake kapewa chumba cha uani..hana mbele wala nyuma
kama hana mbele wala nyuma anajisaidia vipi sasa?/
 
Ndugu zangu wawili wamesharudi nabanana nao hapa nyumbani kwangu,walichoambulia ni kengereza tu na stori za london hakuna la zaidi


Hahahaa Mkuu umenichekesha sana. Wanagonga ngeli za malikia wakati mfukoni goto hamna. Afu ukute na age nayo inaelekea kibra. Daah mtihani sana.
 
Hahahaa Mkuu umenichekesha sana. Wanagonga ngeli za malikia wakati mfukoni goto hamna. Afu ukute na age nayo inaelekea kibra. Daah mtihani sana.
Hahaaa age. Inaelekea kibraaa.....jf bna! Ila wabonggo tunabaniana nakumbuka 2012 kuna gepu limetokea botswana kuhusu mambo ya wanyama (vetinary) washikaj wote walioko botswana nilipowachek no respond....anyway huu uzi umenikumbusha miaka hiyo
 
Mbona Le Mutuz ametusua, na sasa ni mmoja wa mabilionea wakubwa sana hapa bongo na king of all social media in Tanzania. U know? Maisha ya mbeleeez ni matamuz sanaaz, U know. Watu wanakula bataz na mibebez ya ukweliz.
 
Ulaya kaz za kishenz nyingi sana na wabongo hawachagui ndo mana dizain wenye akili wakienda wanapiga bao ila kaz ni za ki K**#%
 
Hahaaa age. Inaelekea kibraaa.....jf bna! Ila wabonggo tunabaniana nakumbuka 2012 kuna gepu limetokea botswana kuhusu mambo ya wanyama (vetinary) washikaj wote walioko botswana nilipowachek no respond....anyway huu uzi umenikumbusha miaka hiyo


Nikweli mkuu, wabongo tunabaniana sana kwenye inshu za mafanikio. Afu nasikia huko Botswana, wabongo ma-MDs ndo wanatusua sana.

Harakati za mtu mweusi ni ngumu sana Mkuu.

Duniani 'mabeki' kibao, ushindi inahitaji sala.
 
Waliondoka na ndoto za kwenda kupata maisha bora huko ng'ambo. Baadhi yao waliondoka kwa mikogo mingi na kila mtu alijua kuwa wameondoka Bongo. Tuliwaaga kwa huzuni huku tukiwaonea wivu kuwa wenzetu wameukata kimaisha.

Sasa wamefika kwenye capitalist World na wameshindwa kutusua. Wamejaribu mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu mpaka wengine wamejaribu kwa miaka kumi ila mwishowe wamekata tamaa na kuamua kurudi nyumbani Bongo.

Sasa tulitegemea watakaporudi warudi na mali walizochuma huko, ila mwisho wa siku wamerudi na ndoto tu za kuja kuanza kutengeneza maisha huku Bongo.

Tunawakaribisha sana nyumbani, Nyumbani mtu hafukuzwi. Nawakaribisha na wengine walioshindwa kutusua huko ughaibuni mwache kubeba box mje hapa nchin tushirikiane kulijenga taifa. Sasa hivi opportunities nyingi zipo katika nchi zinazoendelea. Wenzetu wako saturated kwa kuwa wameshajitosheleza kwa kila kitu hivyo opportunity mpya sio nyingi na rahisi hasa kwa ngozi nyeusi.

Karibuni nyumbani wabeba box wooote... Njooni mumuone kaka yenu Le Mutuzi huku akitoa mfano wa kuigwa kwenye ujasiliamali...
Ninon Marapachi Managing director Bank of America Merrill Lynch from Tanzania | African Millionaires and Entrepreneurs
 
sasa wise boy ulipopata ishu botswana si ungeenda mji mkuu Gaborone ungejua huko kinachoendelea acha woga Watz wapo hadi Cambodia na Vietnam hapa unajiuliza kwenda basi za kumwaga..
 
Back
Top Bottom