Wapi sijui Sasa. Mbona huelezi ni wapi nimekosea. Au illusions zako ndo zinakutesa tuWewe ndiyo kilaza kabisaa!!!!
Ni aibu kujifanya unajua kumbe mweupe kichwani
Wapi sijui Sasa. Mbona huelezi ni wapi nimekosea. Au illusions zako ndo zinakutesa tuWewe ndiyo kilaza kabisaa!!!!
Ni aibu kujifanya unajua kumbe mweupe kichwani
Hakuna kituHivi hii serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa ?
Kuomba muwapigie Kura kipindi cha uchaguzi au kuna kingine?Hivi hii serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa ?
Unaifananisha marekani na Tanzania?Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba serikali haiwezi kuendesh hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Serikali ya Tanzania haiwezi, acha mbambambaHujui kitu kama kimya. Mashirika yote marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba serikali haiwezi kuendesh hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Tuwape Waarabu. Mtaji kwao si shida.Salaam Wakuu,
Baada ya Waziri wa Tamisemi kuagiza DART itafute muelezaji binafsi wa kuendesha Mabasi ya Mwendokasi, sasa mambo yamekuwa moto.
Hadi sasa Makampuni 30 yameomba kuendesha Mabasi hayo.
MY TAKE
Nani wa kitoboa mbele ya Mwaarabu?
=====
Dar es Salaam. Two Tanzanian companies are among 30 others that are competing to operate the Bus Rapid Transit (BRT) in a global tender to procure commuter buses in Dar es Salaam.
The government is looking for private investors to partner with and improve efficiency in the BRT.
Last week, the minister of State in the President’s Office - Regional Administration and Local Governments (PO-RALG), Mr Mohamed Mchengerwa, urged Dar es Salaam Rapid Transit Agency (Dart) to find a private investor by October 2024 to offer bus services and maintain efficiency.
Dart’s chief executive officer Athumani Kihamia told The Citizen that two Tanzanian firms were competing for the tender but said it’s too early to mention the names of the companies.
“It is not appropriate to name a corporation at this time because the tender to find a service provider is international. There are currently two businesses from the United Arab Emirates, one each from Asia and the United Kingdom, and numerous others from Africa,” he said.
“The procurement process is currently going on very well; once we get a qualified service provider and make an agreement, we will announce the company as soon as possible and make it public,” he said.
Mr Kihamia insisted that currently there is no company that has won or been awarded the tender so far, adding that Dart is a procurement entity that is handling the procurement process.
According to him, it is a procedure to get a service provider, because the procurement process involves various institutions such as the Ministry of Finance, the Attorney General’s Office, Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) and the PO-RALG.
Two Tanzanian companies among 30 applied to operate Dar es Salaam BRT
The government is looking for private investors to partner with and improve efficiency in the BRT.www.thecitizen.co.tz
Kwani marekani iliteremshwa kutoka mbinguni? Si walianza hivi hivi tu kwa mipango madhubuti kwa kuishirikisha sector binafsi na Leo ndo mana bajeti Yao ni kubwa sana mana Kuna walipa Kodi wengi matajairi kama akina Elon musk badala ya kuwafrusrate matajiri na kukumbatia mamachinga kama alivyofanya jpmUnaifananisha marekani na Tanzania?
Mbona umejikatia tamaa. Au nawe shule ndo shidaSerikali ya Tanzania haiwezi, acha mbambamba
Kurecruit machawa.Hivi hii serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa ?
Nitajie nchi ambayo usafiri wa umma inaendeshwa na sekta binafsiHujui kitu kama kimya. Mashirika yote marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba serikali haiwezi kuendesh hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Marekani, china, urusi, england nkNitajie nchi ambayo usafiri wa umma inaendeshwa na sekta binafsi
Kuteua vibaka na majambazi wa mali za ummaHivi hii serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa ?
Hakuna hata moja ya nchi ulizotaja usafiri wa umma kuendeshwa na sekta binafsi Tena england walijaribu kumpa mtu binafsi wakamnyang'anyaMarekani, china, urusi, england nk
Kuratibu wizi wa kura ili chama chakavu kiendelee kutawalaHivi hii serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa ?
Jibu swali unailinganisha US na TZ?Kwani marekani iliteremshwa kutoka mbinguni? Si walianza hivi hivi tu kwa mipango madhubuti kwa kuishirikisha sector binafsi na Leo ndo mana bajeti Yao ni kubwa sana mana Kuna walipa Kodi wengi matajairi kama akina Elon musk badala ya kuwafrusrate matajiri na kukumbatia mamachinga kama alivyofanya jpm
Kwa hiyo baada ya kubinafsishwa nauli tutakuwa tunalipa kwa dola?Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola
Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?
Top 100 riches wapi marekani na uengereza indicating Wanatengenezwa na serikali kwa kuwapa mashirika wayaendeshe ili kukuza biashara zao ili serikali na wao kuwa wabia (PPP). Serikakili makini yoyote haiendeshi shirika la uma peke yake ili kuleta ufanisi na kutumia pesa kitogo na zingine kwenye huruma zingine. Debt financing is better than equity financing. Jpm alihalibu nchi kwa sababu equity financing was preferred moreHakuna hata moja ya nchi ulizotaja usafiri wa umma kuendeshwa na sekta binafsi Tena england walijaribu kumpa mtu binafsi wakamnyang'anya