Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

Waarabu ni watu waliofanya biashara ya utumwa kwa muda mrefu sana na victim wakubwa wa biashara hiyo haramu ni Waafrika! Wazungu pia walifanya biashara hiyo kwa muda mrefu. Kwa upande wa Wazungu wao walizaa na Waafrika ambao walichukuliwa utumwani na ndio maana kuna Wamarekani wenye asili ya Kiafrika. Hata hivyo sijawahi kusikia Waarabu wenye asili ya Kiafrika! Tuseme kwamba waarabu hawakuzaa na Waafrika au kilitokea nini hasa?

UNAISHI WAPI BACHAN? HALAFU WHAT THE POINT OF THIS? TUWAFANYE NINI HAWA WARABU?

As an arab girl i remember been mocked by African kids "wewe mwarabu unafanya nini kwenye nchi yetu...kwanini hurudi kwenu? halafu nyinyi ndio mlikuwa mnawafunga minyororo babu zetu etc etc""" " as a kid i didnt know why those kids hated me that much: am i the criminal? No... was my dad a criminal? No.... was my great grand father involved in slave trade? NO he did not ... actually he settled there and married to an African woman) .... ask who am i now... I will tell u that I am an African Arab...although my skin is pale, but u dont judge ppl based on their skin color do u? unless if you are an extreme fringe racist lunatic...what I am trying to say here free urself from hatre.... not all Arabs are bad ppl and not all are good either....same goes to Westerners.

I beg to differ with you kama wazungu waliowa waafrica.... dont u even watch movies? do u know that Slaves in America were never allowed to marry? (let itself interracial marriage) the argument against slave's marrying simply put was this: it is impossible... marriage in western sociaty is supposed to be a contract based on mutual consent and a slave by any definition does not posses his own consent. His every move is controlled by his master and therefore he can not willfully enter into any contract with another human being. Therefore slaves could not marry...this has effectively destroy the institution of marriage within African American community for generation to come...:frown:

Do u even know that interracial marriage was illegal in the United State until fairly recently (1967 something) For most of American history falling in love with a person of the wrong color could land you in jail or worse.... now if I go back I dont think my great grand father was arrested or forbidden to marry my beautiful black grandmother....

U COULD JUST SAY IT i HATE ARABS AND i LOVE WESTERNERS EVERYONE WOULD HAVE RESPECTED UR OPINION... INSTEAD OF MAKING URSELF A FOOL.... I rest my case
 
Ah! mbona hata Myahudi wa Ki Khazar anaweza kukaa kwenye Kompyuta na kudai madai uliyodai wewe?!
 
Sideeq whats up with u and Jews? what has this got to do with Jews? dont waste my time :angry:
 
The Boss unakosea. Hapa sijaongea tu bali nimeuliza na swali! Usiniambie kwamba vile vile kuna kitu kama "no research, no right to ask!" Hilo la kutembea dunia nzima kabla ya kuongea nafikiri hata wewe huna ubavu wa kufanya hivyo, eti nikitaka kujua juu ya aborigin wa Australia, nifunge safari mpaka huko kwanza, strange indeed!

There you are! The Boss amewahi kutembelea nchi ngapi. Hata Tanzania labda haijiu vizuri. Let us discuss the issue kwa mapana yake na sio kuzodoana guys. If you feel like you dont have any comment leave it to others! Tuendelee waheshimiwa
 
Kuna hoja zingine kabla ya kuziazinsha
mngepaswa kutembea dunia na kuona kwa macho,sio mnakuja na pumba tu hapa..
No research no right to speak......

safi sana Boss, huyo buchanan ni mbaguzi na mdini mkubwa sana
 
Mimi nina asili ya kiarabu na nimepata kubaguliwa sana,kutukanawa na kuzomewa .Nimeitwa mwarabu koko na kuimbiwa nyimbo za mwarabu kokoliko..n.k
Kuzomewa kulinipa nguvu badala ya kunidhoofisha Kutokana na uchochezi aina ya huu ulioanziashwa na Buchanan watu wanaweza kupoteza maisha yao.Ni aina ya kuanziasha chuki kwa jamii ya Watanzania wenye asili ya Kiarabu ili wajomba wakamate mapanga na kuazisha chinja chinja dhidi ya waarabu wa kitanzania.
Kuna Watanzania wengi weusi wenye asili ya Kiarabu na siku zote tunaishi na hofu kutokana na watu kama Buchanan.
Kama kulikuwapo na wahutu waliochochea chuki kwenye vyombo vya habari dhidi ya watusi na kusababsha mauaji makubwa sasa moderators wanaweza kutuambia nini kuhusu thread ya Buchanan kuendelea kuwepo!

Penye moshi panaficha moto!
 
Pole sana Mkuu.

1. African America hawakutokana na ndoa kati ya mweusi na mweusi. Asili ya kuchanganya damu inatokana na waliowatangulia kubakwa na weupe ambao wanaowamiliki. Ni hivi karibuni tu ndiyo sehemu nyingi marekani ndoa kati ya mweupe na mweusi zimeruhusiwa.

2. Jibu fupi ni kuwa kwa wamarekani, mtu yeyote aliyechanganya damu nyeusi na nyingine ni mweusi. Kwa waarabu mtu yeyote mwenye damu ya mwarabu ni muarabu. Obama angekua amezaliwa uarabuni angeitwa muarabu na sio mweusi. ingawa ni aghalabu kwa mweusi kuoa muarabu.

3. Wamarekani waafrika waliamua kujitambulisha hivyo kutokana na kubaguliwa structurally ( fursa ya kupiga kura, sehemu za kuishi, ajira n.k.) na utawala wa watu weupe. Ingawa naambiwa kuna ubaguzi uarabuni dhidi ya wenye ngozi nyeusi lakini sidhani imefika mahali pa kuambiwa watumie mabomba ya maji tofauti, mabasi tofauti au kuishi sehemu zao. Katika nchi za Mauritaniani na Sudan kuna sehemu ambako bado wana watumwa weusi.
4. Ukiangalia hata kwetu waarabu wameoa sana weusi, na watoto wao wanaendelea kuitwa waarabu lakini wakoloni wangapi walioa weusi?

Mijadala kama hii ni hatari hasa kama imeanzishwa ili kujenga chuki dhidi ya wenzetu. Hakuna jamii ambayo haikukwahi kufanya mabaya dhidi ya wenzake. Kuwabebesha mizigo wale ambao waliowatangulia walifanya mabaya ni kuwa na mawazo finyu. Watu wapimwe kutokana na vitendo vyao na sio vya waliowatangulia.

Amandla.........
 
UNAISHI WAPI BACHAN? HALAFU WHAT THE POINT OF THIS? TUWAFANYE NINI HAWA WARABU?

As an arab girl i remember been mocked by African kids "wewe mwarabu unafanya nini kwenye nchi yetu...kwanini hurudi kwenu? halafu nyinyi ndio mlikuwa mnawafunga minyororo babu zetu etc etc""" " as a kid i didnt know why those kids hated me that much: am i the criminal? No... was my dad a criminal? No.... was my great grand father involved in slave trade? NO he did not ... actually he settled there and married to an African woman) .... ask who am i now... I will tell u that I am an African Arab...although my skin is pale, but u dont judge ppl based on their skin color do u? unless if you are an extreme fringe racist lunatic...what I am trying to say here free urself from hatre.... not all Arabs are bad ppl and not all are good either....same goes to Westerners.

I beg to differ with you kama wazungu waliowa waafrica.... dont u even watch movies? do u know that Slaves in America were never allowed to marry? (let itself interracial marriage) the argument against slave's marrying simply put was this: it is impossible... marriage in western sociaty is supposed to be a contract based on mutual consent and a slave by any definition does not posses his own consent. His every move is controlled by his master and therefore he can not willfully enter into any contract with another human being. Therefore slaves could not marry...this has effectively destroy the institution of marriage within African American community for generation to come...:frown:

Do u even know that interracial marriage was illegal in the United State until fairly recently (1967 something) For most of American history falling in love with a person of the wrong color could land you in jail or worse.... now if I go back I dont think my great grand father was arrested or forbidden to marry my beautiful black grandmother....

U COULD JUST SAY IT i HATE ARABS AND i LOVE WESTERNERS EVERYONE WOULD HAVE RESPECTED UR OPINION... INSTEAD OF MAKING URSELF A FOOL.... I rest my case
I don't love "Arabs," I also don't hate "Arabs," because it is too general to say that! Wewe kama msichana wa Ki-Afro-Arab, unapenda Uarabu zaidi au Uafrika zaidi? Inawezekana waliokuchukia ni kwa sababu ya dharau zako dhidi ya pure Africans! Kuna ndugu yangu mweusi aliwahi kwenda Pakistan, alinyanyaswa sana na mumewe kwa sababu ya weusi wake mpaka waliachana! Anyway, Waarabu wote si wazuri na si wabaya, it depends... Mimi nina rafiki zangu Waarabu na tunaheshimiana sana!
 
sasa swali gani hilo mkuu? na upenda uarabu wangu na uafrica wangu equally... because this what made me who i am now...:target: U dont know how proud I am to have African blood in me...(siwezi kuandika kila kitu watu watadhania najisifia)

I was not raised to look down at ppl based on their skin color... as an adult now nafahamu kama wale walonichukia walikuwa stereo type..labda nyumbani kwao walikuwa wanafundishwa hivyo... u know they didnt make me angry although I was offended somehow..just like how ur thread offended me, it didnt make me mad though... kuhusu ndugu yako kunyanyaswa na mpakistan thats an individual problem wakati anamuoa alikuwa mweupe?I am glad she is out of that marriage...

alteast we have agreed on that point that NOT ALL ARABS ARE MORONS lolllllllllll
 
Mimi nina asili ya kiarabu na nimepata kubaguliwa sana,kutukanawa na kuzomewa .Nimeitwa mwarabu koko na kuimbiwa nyimbo za mwarabu kokoliko..n.k
Kuzomewa kulinipa nguvu badala ya kunidhoofisha Kutokana na uchochezi aina ya huu ulioanziashwa na Buchanan watu wanaweza kupoteza maisha yao.Ni aina ya kuanziasha chuki kwa jamii ya Watanzania wenye asili ya Kiarabu ili wajomba wakamate mapanga na kuazisha chinja chinja dhidi ya waarabu wa kitanzania.
Kuna Watanzania wengi weusi wenye asili ya Kiarabu na siku zote tunaishi na hofu kutokana na watu kama Buchanan.
Kama kulikuwapo na wahutu waliochochea chuki kwenye vyombo vya habari dhidi ya watusi na kusababsha mauaji makubwa sasa moderators wanaweza kutuambia nini kuhusu thread ya Buchanan kuendelea kuwepo!

Penye moshi panaficha moto!
Nadaby habibi come back home usiche kuchinjwa bure lolllllllllll
 
Nadhani kuwepo kwa tabaka la watu weusi ndani ya Marekani ni hsitoria ya mapambano. Ni kweli kuwa waarabu walijihusisha na biashara yab utumwa na ndio wa kwanza kubuni hiyo bisahra, lakini wao walikuwa wakijihusisha zaidi kuwauza watumwa huko Ulaya, Marekani na Mashariki ya Mbali. Ni weusi wachache sana waliuzwa katika nchi za mashariki ya kati, hivyo kwa kuwa hakukua na mapambano ya kujikomboa katika baaddhi ya nchi hizo ambazo watumwa walipelekwa kama ilivyokuwa kwa Marekani ambapo tabaka la weusi lilikuwa kubwa, haikuwa rahisi kupata asili ya watu wa mataifa katika nchi hizo kama ilivyo Marekani.

Kwa Marekani, kuwepo kwa "waamerika wenye asili ya Afrika" (Negros/Black Americans) ni suala la jitihada za hao waafrika waliochukuliwa utumwani kujikomboa na kwakuwa kulikuwa na tabaka la mataifa mengi liliotumikwa kwenye utumwa, katika Ulaya na Marekani ilikuwa vigumu kupata utambulisho mwingine kwa watu wenye asili ya afrika zaidi ya hiyo ya "wamarekani weusi/wamarekani wenye asili ya Afrika". Hii iliweza kuwatofautisha na weusi wenzao waliotoka nchini nyinine kama wahindi weusi nk.

Kwa ujumla, wapo waafrika wengi tu katika nchi nyinine ambao wanatokana na utumwa lakini hawatambuliki kwa asili ya nchi zao kama ambavyo kwetu tunavyojaribu kuwatambua wengine kwa mfano "Mtanzanzania mwenye asili ya Kiasia" (Asiatic Orign) nk. Lakini pia hatuwezi kuwatofautisha kihivyo watanzania wenye asili ya Uarabuni kama wale kule Singida (twawaita tu waarabu, iwe ni Koko au orijino).

Kwetu ukisema "mwaarabu", "mhindi", "mchina" "mzungu" nk, inakuwa ni kitambulisho cha mtu huyo kwa asili yake na rangi ya ngozi yake kama ilivyo "mwafrika au Mweusi"..Mara zote haimaanishi sana ubaguzi wa rangi ya wahusika. Wakoloni waliyumia aina hiyo ya kuwatofautisha hata kupitia sheria za nchi kuna walioitwa "Africans, ab-origins, whites, Arabics and Asiatics"(unaweza kuona hapo jinsi gani wazungu nao walivyokuwa wabauzi kwao ilikuwa si asili bali ni rangi -"whites" japo kuwa wa "arabic" na "Asiciatics" nao ni "whites" kwa rangi pia!!). Labda kwetu ingekuwa ni ubaguzi zaidi iwapo wangetutambua kama "blacks"..

Kwa maana hiyo hiyo ya kumtambua mtu kwa asili yake, penigine inatulazimu kuitana kwa maeneo au makabila ya asili zetu kwa mfano "Mpemba", Mmatumbi, Mhaya, Mzanaki, Mnyamwezi, Mchaga, Myao, Singa, Mguya, nk.

Lakini ikumbukwe pia kuwa kupotea na kutotambukika kwa tabaka fulani ndani ya jamii au taifa fulani, pengine lilitokana na kukithiri kwa ubaguzi wa aina fulani (rangi, jinsi, asili nk). Kwa mfano, ni nadra sana kupata Chotara wa Mchina na Mwafrika si tu China hata kwetu Afrika. Sasabu ni hiyo dhana ya ubaguzi ambao si rahsi kuubaini kwa uwazi.
 
Nadaby habibi come back home usiche kuchinjwa bure lolllllllllll

Sijakupata uzuri hapa bana. ..where is that home you mean??.

Pengine ubaguzi kati yetu tunaweza kujitengenezea wenyewe kwa kauli zetu!!.

Tujizuie na kauli kama hizi ambazo zina sura ya hayo tunayojaribu kupigana nayo ili yaondoke mioyoni mwa watu waliyonayo hapa duniani (racism).

NONAME NAONA UTAKUWA UMEKWAZIKA, SIDHANI WAWEZA KUTOA KAULI KAMA HIZI!!
 
Sijakupata uzuri hapa bana. ..where is that home you mean??.

Pengine ubaguzi kati yetu tunaweza kujitengenezea wenyewe kwa kauli zetu!!.

Tujizuie na kauli kama hizi ambazo zina sura ya hayo tunayojaribu kupigana nayo ili yaondoke mioyoni mwa watu waliyonayo hapa duniani (racism).
Sorry u r not getting my sense of humor...I always find humor in something... I got no idea where is Nadaby's home..If he has home at all LOL .... read my posts u will know where I stand... u have not been through what Nadaby and me been...so its easy for u to judge ok? Nadaby and me dont have no homes... in Tanzania we are called Arabs and mocked to go back to our homeland... when we come here we are called Africans... now u want me to commit suicide or to make a humor out of this?
 
Jamani mambo ya dini tuyaache humu!
waambie wanaotuka dini za wenzao yani they bore me to death.... We have just enough religion to make us hate but not enough to make us love one another? I wish we all have one religion....
 
As an arab girl i remember been mocked by African kids "wewe mwarabu unafanya nini kwenye nchi yetu...kwanini hurudi kwenu? halafu nyinyi ndio mlikuwa mnawafunga minyororo babu zetu etc etc""" " as a kid i didnt know why those kids hated me that much: am i the criminal? No... was my dad a criminal? No.... was my great grand father involved in slave trade? NO he did not ... actually he settled there and married to an African woman) .... ask who am i now... I will tell u that I am an African Arab...although my skin is pale, but u dont judge ppl based on their skin color do u? unless if you are an extreme fringe racist lunatic...what I am trying to say here free urself from hatre.... not all Arabs are bad ppl and not all are good either....same goes to Westerners.

Unfortunately, sentensi yako ya kwanza inakushitaki. Umeshajiweka categorically katika kundi la waarabu dhidi ya waafrika waliokuwa wakikunyanyasa. Kama toka mtoto ulikuwa unajihesabu ni muarabu kwa nini basi watoto wenzio wasikuite hivyo? Si dhambi kusifia damu uliokuwa nayo lakini si kwa kuidharau nyingine. Unapojiita mwarabu wakati wote wanajua mmoja wa mzazi wako ni mwafrika ni lazima watakusemea ovyo maana watoto ni wakatili.

Hakuna mwarabu ambaye aliishi pwani ya Tanzania au kwenye visiwa vyake wakati utumwa ni halali ambaye hakuhusika na utumwa kwa njia moja au nyingine. Kuwepo kwa watumwa ndiko kulikoboresha maisha yake. Kuoa mwafrika hakkuna maana kuwa hakuhusika na utumwa! Tippu Tip alikuwa na damu ya kiafrika lakini alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa watumwa.

Na Ngoshwe, ni kuwa disingenious kusema kuwa waarabu waliwauzia wazungu watumwa lakini hawakuwa na watumwa kwao. Saudi Arabia ilipiga marufuku utumwa mwaka 1962, Yemen na Oman 1970 na Mauritania 1981!

Amandla........
 
u have not been through what Nadaby and me been...so its easy for u to judge ok? Nadaby and me dont have no homes... in Tanzania we are called Arabs and mocked to go back to our homeland... when we come here we are called Africans... now u want me to commit suicide or to make a humor out of this?

Mh. Pole

Lakini hisia zako bado zantia mashaka kama kweli tunaongea lugha moja ya kupigania usawa kwa watu wote. Ubaguzi mwingine unatokana na hisia potofu za mtu binafsi kwa kuona kuwa yeye si watabaka fulani, aidha kwa kujiita au kujiepusha na tabaka la watu wengine.

Nimekusoma hapo juu unajiita "an arab girl" mwenye uafrika ndani yako . Lakini chakushangaza hutaki kuukubali uafrika wako pia kwa kusema kuwa"you have been mocked by "African kids".(tayari ushatengeneza tiofauti kati yako na hapo wengine ambao si wa asili yako!!).

Nimekusoma kwa kauli ya kumtaka AL-Nadaby (kwa hisia kali) arejee nyumbani asije akachinjwa (sijui atachinjwa na nani?? kama si hao unaowataja "Africans" japo kuwa mwenzio yaweza kuwa amezaliwa na anaishi katika jamii hiyo hiyo kwa maisha yake yote !!. Nashindwa kujua hata huko "nyumbani" ambapo haweiz kuchinjwa ni wapi ???

Kwa hizo hisia tu unaweza kuona jinsi gani matabaka mengine yanavyotengenezwa na wanadamu katika mioyo yao huku wakipigania usawa usio wa kweli wakati wamepoteza imani kwa wenzao.

Hata kama umepitia magumu gani, kwa hisia hizi kamwe hakuna suluhu na nadhani ingekuwa kisasi kikubwa sana kwa wale ambao walitawaliwa dhidi ya watawala iwapo dunia ingerejea nyuma na kama kioo tungeona mambo yale yaliyofanyika enzi za mkoloni na kutawaliwa kwa mataifa duniani.
NI dhahiri pia kama tunavyosoma katika historia, wayahudi ambao walichukuliwa utumwani Misri zama zile wasingweza kusita leo hii kulinagamiza taifa lote la kizazi cha Farao (wa Misri) kwa kuwa sasa ni miongoni mwa taifa lenye nguvu Duniani.

Dhambi ya Ubaguzi itatutafuna, tuepuke mambo haya ambayo hayajengi katika jamii!!. Na hata mkiwa wote wenye asili moja huko nyumbani, bado baaade mtaanza kubaguana tu wenyewe kwa wenyewe, mwingie atamwona mwenzake ni kijakazi au Mtwana na yeye ni Mfalme au Malikia.
 
safi sana Boss, huyo buchanan ni mbaguzi na mdini mkubwa sana
kipofu kumwongoza kipofu mwenziye lazima watapotea tu, ubaguzi maana uko wapi hapo, udini uko wapi hapo, nyie hebu badirikeni mwende na wakati, siyo tu kwa sababu waliwaletea upagani wenu katika mfumo wa kitabu,
basi muwakumbatie tu hata na ushenzi wao, hapo hamtetei tabia zao bali mmevaa kofia za uislamu
hebu vueni kwanza, then tuwatazame hawa waarabu na faida za kwa jamii nzima

huwezi kuwatetea hawa ni washenzi tu, sitoshindwa kusema hivyo kwa kuonekana mbaguzi ama mdini
 
.........Tippu Tip alikuwa na damu ya kiafrika lakini alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa watumwa............

Kwa kweli historia potofu imekuwa silaha madhubuti ya kuenea kwa ukristo tuseme hapa Tanzania tulipo.Tip Tip alikuwa mfanyabiashara wa kawaida tu.na alianza na umachinga akiwa na miaka 12.Alikuwa akiwalipa wafanyakazi wake waliokuwa wakimbebea mizigo yake kwa staili ya siku hizo kulingana na kilomita walizombebea.
Wamishionari walipokuja na kumkuta tajiri aliyeendelea na uislamu wake wakamfanyia njama na kumzushia mambo mengi na michoro kama hiyo ya watumwa waliofungwa minyororo.Kabla kufa kwake aliandika historia yake kwa mkono wake na kulalamikia sana akina Jameson waliomzushia maovu pamoja na misaada yote aliyowapa.Ukitaka mjadala zaidi kuhusu hili tutaendelea.....
Huyu Buchanan simjui kwa sura na sura aliyotumia pale si yake.Naweza kusema hivyo kwa kuangalia maelezo na mada zake.Yeye lazima ni kijana mdogo ambaye hata miaka kama yangu hajafika.Kwa hivi chuki zisizokuwa na mashiko anazopewa huenda kanisani kwake hajakuwa na muda wa kuzizingatia na kuzifanyia udadisi angalau kidogo. ,
 
Back
Top Bottom