Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

Waarabu Wenye Asili ya Kiafrika?

Soma kitabu kipya cha Mahmood Mamdani, kinaonesha kuwa kuna Waarabu wenye asili ya Afrika huko Sudan. Tena ni wazawa kabisa wa Afrika. Kitabu hicho kinaitwa Saviours and Survivors: Darfur, Politics, and the War on Terror.
kwa hiyo ni sababu tosha mwarabu ama mhindi kutokuwa mhindi ama mwarabu kwa vile amezaliwa afrika? asili itabnaki pale pale hata ungezaliwa wapi, uarabu ni uarabu na kuzaliwa afrika ni kitu kingine
hivyo hata tukisoma kitabu hicho hakina jipya la kuwatenganisha kwa asili ya kuzaliwa
 
Soma kitabu kipya cha Mahmood Mamdani, kinaonesha kuwa kuna Waarabu wenye asili ya Afrika huko Sudan. Tena ni wazawa kabisa wa Afrika. Kitabu hicho kinaitwa Saviours and Survivors: Darfur, Politics, and the War on Terror.
kwa hiyo ni sababu tosha mwarabu ama mhindi kutokuwa mhindi ama mwarabu kwa vile amezaliwa afrika? asili itabaki pale pale hata ungezaliwa wapi, uarabu ni uarabu na kuzaliwa afrika ni kitu kingine
hivyo hata tukisoma kitabu hicho hakina jipya la kuwatenganisha kwa asili ya kuzaliwa
 
kwa hiyo ni sababu tosha mwarabu ama mhindi kutokuwa mhindi ama mwarabu kwa vile amezaliwa afrika? asili itabaki pale pale hata ungezaliwa wapi, uarabu ni uarabu na kuzaliwa afrika ni kitu kingine
hivyo hata tukisoma kitabu hicho hakina jipya la kuwatenganisha kwa asili ya kuzaliwa
Wewe Anyisile kaa pembeni kwenye huu mjadala.Unawaaibisha wenzako bure.Umeambiwa usome hicho kitabu,unasema hata ukisoma hakina jipya!.Kama umeshindwa kujibu afadhali ungemwambia Companero akuoneshe hicho kitabu kilipo.
 
Sio suala la kuzaliwa. Hao Waarabu anaowaongelea Mamdani walikuwepo huko Sudan siku zote. Hivi hujui kuwa Bara la Afrika lilikuwa limeunganika na Asia kabla hawajachimba ule mtaro wa Suezi? Kwa ufupi, kuna Waarabu ambao wamekuwepo Afrika toka mwanzo.
 
Wewe Anyisile kaa pembeni kwenye huu mjadala.Unawaaibisha wenzako bure.Umeambiwa usome hicho kitabu,unasema hata ukisoma hakina jipya!.Kama umeshindwa kujibu afadhali ungemwambia Companero akuoneshe hicho kitabu kilipo.
nadhani ulilala na hangover weye sasa tatizo hapo lililo kufanya ukurupuke tu kujibu posti ni nini?
au ndiyo kujifanya much know? hebu rudia kuisoma then uje kivingine, siyo unjibu posti kwa kufurafura hapa ebo! kwani kuna watu mashuhuri walioteuliwa kuchangia mawazo yao hapa kalale kule usijifanye wewe kiranja wa jf
 
Back
Top Bottom