From Topthinker to bottomthinkerAisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Great thinker..
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
u must be a top thinker from the bottom
Top thinker anaeamini kwenye kufuga majini na kuwa kufuga majini kunasababisha mji kuwa maskini!
Kweli penye wajinga werevu hujitenga!
Mji mbona uko poa tu au we unapaonaje? Matajiri ni kweli wapo waarabu ila sina uhakika unaposema wao ndio wameshika uchumi although wanachangia kwa kiasi kikubwa ila miradi yao inatoka nje ya mji kama Asas Dairy, Dabaga fruits, na wengineo.
Sijajua unataka wawafukuze vipi wakati kuna matajiri wamekimbia biashara zao wamebadilisha na wapo dar, mfano S.T. Abri marehemu alikuja dar na biashara kabadili anafanya real estate, iringa kinatuangusha kilimo ila mbona hujasema mbao biashara ya matajiri wahehe? Mbona hujaona chai? Tena ya muhehe kiwanda?
Na vingine vingi sana, unahitaji kuelewa kuwepo kwa waarabu wachache hao kina Huwel tena hata uarabuni wengi hawana ndugu huyu unaemtaja mama ni mswahili, waarabu wenzie wakamtenga ndo tumfukuze aende wapi? Just be reasonable! Biashara hata wakazi wenyewe wamezihamishia dar, njo kkoo uliza, nadhani ni vizuri ufanane na hiyo ID yako!
hiyo ya mji kukaa juu sijaridhika,kwani wenyeji wanashindwa kujenga mji wa kisasa pale chini inakopita barabara kuu??ni watu wangapi wanapita pale wanashindwa kupumzika na hakuna mahali pa kupumzika???kwa mtazamo wangu waarabu ni wafuga majini na ndio wanasababisha mji uendelee kuwa maskini,angalia mbeya jinsi inavyokuwa kwa kasi ya ajabu,,kuna kitu bana!!!
Omba msamaha,kwa kutukosea adabu,itabidi wale wachaga wote waliohamia Iringa nao tuwafukuze,isitoshe na wewe unamatatizo mbona wapo matajiri wa kila aina pale hata hapo mjini,sio waarabu tu uliowaona,fanya utafiti kote ujue nani ni tajiri katika sekta ipi,huyo uliyemtaja nafikiri ni usafirishaji,wenyeji wengi wamewekeza katika kilimo na wanafanya vizuri sana,kuna jamaa anashamba linaitwa MAWAMBALA huyu ni mweusi shughuli iliyopo pale ni balaa,na wengine pia wapo kwenye sekta ya chai na wapo wachaga ni balaa kwa kilimo na ufugaji.
Kila sehemu ya Tanzania ina utamaduni,mila na destuli zake wahehe hawakuwa na destuli kama za wachaga kuwafukuza watanzania wenzao, wao waliwakaribisha na kushirikiana nao,ila uongozi uko chini yao,usitegemee wewe ukawe mbunge pale Iringa mjini au Iringa vijijini haikubaliki hata kidogo,Mkwawa aliwaambia nchi ya uhehe itatawaliwa na Muhehe.
Matajiri wahehe mfano?
Matajiri wote wa kihehe kama Chalamila,Masasi,Ngole na nk.ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.
MTANDI mwenye embalasasa motel na kampuni yaukandarac, KAUNDAMA mwenye kalenga motel na maduka yajumla jumla pamoja na magari makubwa yausafirishaji, LUVINGA mwenye m.r hotels, MKWAWA mwenye hillpot hotels, NYAGAWA mwenye mabus ya upendo na budget, MFUGALE mwenye kituo cha radio ebony fm na hotel kubwa pale dar mitaa ya posta inaitwa pcock hotel, hao niwachache 2 kwa harakaharaka.
ndo maana hata mbunge wao ni mkinga, hawa jamaa walikuwa wanawadharau wakinga miaka ya nyuma lakini siku hizi wamegeuka ndo walinzi wa maduka ya wakinga. Wanajiita TULIVAGAYASIDA maana yake hawana shida.
lazima wewe ni mmoja wa ile safari ya watu wa bia za serengeti mambo ya maji yaliyowapeleka huko.....