Waarabu wana nguvu Iringa

mkuu lakini mmezidi bana,haowaarabu ni wageni tu hapo iringa komaeni na mji wenu bana
Cha kushangaza hao hao wahehe wanawazarau sana Wakinga, kiasi cha kwamba hata kuolewa nao ili kuwaga mwiko. I do not understand it. Wa kinga nao ndio wenye maduka na biashara kubwa Iringa ila ndio waliokuwa wanadharaulika na wahehe. It is complicated to understand the logic behind this bias towards Kinga people.
 
Mambo ya wahehe waachie wahehe, we fanya yaliyokupeleka then rudi kwenu moshi kaendelee kufukuza wahindi. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna nanyi mtabaguliwa hakika nawaambia.

Huyo jamaa alikuwa Na muono mmoja wa Waarabu.Iringa inaongoza kuwa Na WAZUNGU wengi sana.Wenye mashamba makubwa.Hoteli kwenye kando ya mito Na bila kusahau taasisi nyingi za DINI za hao waDhungu.
Matatizo sio Waarabu Ni Uislamu najua nitawakwaza wengi Lakini ukweli lazima Usemwe.
 
Nime
Nimekumezea tu, ila umwafu sana! ! Nyokoveeeeeeeee!
 
Ulienda wapi we mwenyewe umeenda kunywa maeneo ya chini ulitegemea nini. Kila mkoa kuna uswazi na high-class yake. Ndio maana ulikutana na hao watu wanaofanana na upeo wako mfupi ukaubeba hivyohivyo. Jaribu kutafta high-class wakutembeze ukienda tena.
Tulikwenda bar moja pale mjini kama unakwenda mkwawa uni,tulijaribu kuongea na majamaa pale inaonekana kuna kitu wanajivunia,jamaa mmoja alisema waarabu ni ndugu zao wa karibu eti hata mkuu wa nchi ameoa mmoja wao,sasa hapo unataka nini tena
 
Ukiona mkoa wowote mwarabu au mhindi ana nguvu mkoa huo ujue ni mkoa masikini sana.Tabora,shinyanga,singida,dodoma,morogoro...Lakini mikoa kama Arusha,muhindi au mwarabu hahemi!
 


Hiyo Iringa cha mtoto, we nenda Kigoma/ujiji walivyo washamba na waarab. Yaani hata mwarab koko kule Mungu, akijamba tu, watu wote wanakimbia kwenda kumletea maji ajichambe.
 
Ukiona mkoa wowote mwarabu au mhindi ana nguvu mkoa huo ujue ni mkoa masikini sana.Tabora,shinyanga,singida,dodoma,morogoro...Lakini mikoa kama Arusha,muhindi au mwarabu hahemi!

Hiyo mikoa ulio itaja ni matajiri ya zaidi ya Arusha.Kawaida watu walio kuwa navyo hawatambi kama wasio kuwa navyo.
Hapo Arusha Matajiri wengi sio wazao kama unavyo jidai.Matajiri wengi ni wakuja.Toka mikoani.Wanunuzi wengi wa Madini ni hao Waarabu Na WaHindi.mashamba mengi makubwa ni ya Wazungu.Makampuni mengi ya utalii ni ya Wahindi.Hao wachache wanao Tamba Na VX sio wazao.
Sasa hadithi zako za vijiweni ziache huko vijiwe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…