Mambo ya wahehe waachie wahehe, we fanya yaliyokupeleka then rudi kwenu moshi kaendelee kufukuza wahindi. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna nanyi mtabaguliwa hakika nawaambia.
ni kweli iringa kuna kaushamba cha kuabudu waarabu na katabia ka kushangaa.
mkuu lakini mmezidi bana,haowaarabu ni wageni tu hapo iringa komaeni na mji wenu bana
Pale mjini Iringa kuna vibarakashia vingi na ndio vinaendeleza umwinyi wa kuabudu waarabu,ni kama vile Wamanyema pale Tabora na Kigoma
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Mji mbona uko poa tu au we unapaonaje? Matajiri ni kweli wapo waarabu ila sina uhakika unaposema wao ndio wameshika uchumi although wanachangia kwa kiasi kikubwa ila miradi yao inatoka nje ya mji kama Asas Dairy, Dabaga fruits, na wengineo. Sijajua unataka wawafukuze vipi wakati kuna matajiri wamekimbia biashara zao wamebadilisha na wapo dar, mfano S.T. Abri marehemu alikuja dar na biashara kabadili anafanya real estate, iringa kinatuangusha kilimo ila mbona hujasema mbao biashara ya matajiri wahehe? Mbona hujaona chai? Tena ya muhehe kiwanda? Na vingine vingi sana, unahitaji kuelewa kuwepo kwa waarabu wachache hao kina Huwel tena hata uarabuni wengi hawana ndugu huyu unaemtaja mama ni mswahili, waarabu wenzie wakamtenga ndo tumfukuze aende wapi? Just be reasonable! Biashara hata wakazi wenyewe wamezihamishia dar, njo kkoo uliza, nadhani ni vizuri ufanane na hiyo ID yako!
[/COLOR][/SIZE]
ningekuwa mnyalukolo ningedai apology .samahani yangu
ehh et wenyeji wajinga?
kigezo gan umetumia kugeneralize watu wa iringa wajinga?
umejiuliza kwa nini watu wanawanyenyekea waarabu?ni watu gan ao?elimu zao?wanajishughulisha nanini?
wap hakuna wajinga?dar?moshi?
mkoa upi una werevu,wajanja.hakuan wajinga?
statement yako si ya kiungwana mjombaa na kwa mbali u smell uselfish.ubishoo.dharau na mbaya zaidi unachukulia mambo kijuu juu
hauna tofaut na yule mtu anayekutana na mtoto ombaomba afu anaanza kumtukan mtoto weeee mjinga sana....kwanini auend shule..kwa nini unalala majalalani?kwa nini umevaa nguo chafu?kwa nini aujala mchana.....MTU MWENYE AKILI NA HEKIMA NADHAN ATAANGALIA YALIYOPELEKEA mtotoUYO KUWA IVYO ALIVYO NA SIYO KUMUHUKUMU ....et wewe mtotokesho nikukute umekula na umenda shule na nguo safi.....
thk hard broo
sor 4any kwazo bt nt intended.
pc:violin:
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
Kweli tembea uyaone.Sasa umewasaidia kuwaelewesha au umewaacha hivyo hivyo.Kama umewaacha hivyo hivyo na wewe utakuwa hujasaidia jamii
kumbe sasa nimeanza kujua tatizo,ina maana matajiri wahehe wanaukimbia mji wao??Mkuu inawezekana hao waarabu hawatoi nafasi kwa wahehe kunyanyuka?kuna kitu kimejificha ambacho tunaitaji ufafanuzi,biashara ni ngumu sana inaonekana
kila mtu anatafuta best opportunity ya biashara, sijasema wanakimbia mji ila namaanisha wamesambaa sehemu nyingine kama mbeya, tunduma, dar nk. Nadhani sio kwasababu wewe ni mchaga basi utafanya biashara moshi. Suala la viongozi ndio wanaotakiwa kwani hawana upendeleo wa kipu.uzi, angalia kama ni mikoa mingine ingekuwaje. Pia mkoa ulivyokaa imekuwa tabu kuendelea kwani mji upo upande wa juu hata hivyo maendeleo yameanza kurudi kwa kasi sana. Hakuna anaekimbia ila wanatafuta green pastures, tanzania ni yetu wote na wahehe hawana ubaguzi wa kabila kama nyie wenzetu, so unakaribishwa kama unataka kuinvest.
ni kweli iringa kuna kaushamba cha kuabudu waarabu na katabia ka kushangaa.
hiyo ya mji kukaa juu sijaridhika,kwani wenyeji wanashindwa kujenga mji wa kisasa pale chini inakopita barabara kuu??ni watu wangapi wanapita pale wanashindwa kupumzika na hakuna mahali pa kupumzika???kwa mtazamo wangu waarabu ni wafuga majini na ndio wanasababisha mji uendelee kuwa maskini,angalia mbeya jinsi inavyokuwa kwa kasi ya ajabu,,kuna kitu bana!!!