Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,599
- Thread starter
- #201
Wanabodi,
Kuna hoja ningi huwa zinaibuliwa humu jf kuhusiana na sisi Waandishi wa Habari, sasa kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha.
Intro ya Pasco au Paskali.
Mimi ni Mtanzania, nimezaliwa jiji Dar es Salaam, nimesoma Shule ya Msingi ya O-Bay, sekondari a Tambaza, Chuo cha Uandishi wa Habari TSJ, Chuo Kikuu cha DSM, na kuhudhuria mafunzo mbalimbali ndani na nje a nchi.
Sehemu kwanza kufanyia kazi ni gazeti la Daily News, enzi zile tuna magazeti matatu tuu, Daily News, Uhuru na Mfanakazi. Kisha nikaenda RTD, wakati ule Tanzania tuna redio moja tuu, na a pili ilikuwa ni Sauti ya Injili kule Moshi. Mwaka 1994, Tanzania ndio ikaruhusu TV, hivyo nikajiunga na DTV, ambako ndiko niliendesha kile kipindi cha Kiti Moto. Mwaka 2000 nikajiunga na TBC ambapo mwaka 2002 nilifukuzwa kazi kwa kosa la insubordination.
Toka mwaka 2002 hadi leo 2012, nimekuwa ni mwandishi wa kujitegemea.
Sasa hivi habari zangu nazisambaza kwenye magazeti 10. vituo vitano vya TV, vituo vitano vya Redio, na several online forums. Nimespecialize kwenye Radio and TV Production, hivyo kazi a kuandika, naandika kwa kujitolea, just for the love of it, na silipwimedia yoyote kuwaandikia, nawapa habari bure, kama ambavo ninavyoandika humu jf.
Hapa nilipofikia, siwezi tena kuajiriwa nayoote, wala siwezi kutumwa na yoyote, ofisi yangu iko eneo la mjini kati, pangu tuu la ofisi, ni zaidi ya mshahara wa DC!, hivyo naombeni sisikie upuuzi kuwa Pasco anaandika kwa kutaka chochote!, nothing, naandika just to inform.
Paskali
Au unataka Vyeti?.Pascal Mayala haeleweki, ila nae atuambie alikopitia elimu yake mpaka anapata digrii. Make mimi Mayala nimeanza kumsikia anaandika habari wakati hana digrii.......sasa atuambie alikuwa mwandishi vipi wakati hana digrii......na ameipataje digrii yake hapo baadae. Hizi elimu za kuunga zina shida sana.
Paskali