Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,182
- 27,361
Basi kama hakuna jibu, hakuna hoja piaSwali la hovyo Lina majibu ya aina mbili, kutojibiwa na jibu la hovyo pia.
Basi kama hakuna jibu, hakuna hoja piaSwali la hovyo Lina majibu ya aina mbili, kutojibiwa na jibu la hovyo pia.
Nimekuuliza tukio lipi ambalo halikuwa limezingatia sheria za mpira wewe unani quote na picha isiyoeleweka bila kujibu swali.
Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplishedNihitimishe kusema endelea kucheza rede achana na football mkuu.
Hivi huwa unafuatilia mpira wa nje hasa Ulaya? Huko zikiongezwa dakika chache ni 10 endapo timu ilikuwa inapoteza muda lakini ikiwa muda ulipotea zaidi basi zinaongezwa hata 15.
Zikipotea dakika hata 40 refa ana haki ya kusimamisha muda na kuongeza hizo dakika 40 zilizopotea.
Kumbuka football popote inapochezwa zinafuatwa sheria za FIFA.
Mbona makocha wengi tu wanalalamika kwamba refa hakuwa fair kwenye mchezo husika na hakuna anayechukuliwa hatua?Ulitaka aseme ili apigwe faini au? Alijua kwamba mpira ni mchezo wa wazi Kila mtu kaona. Ni mkomavu hakutaka kuwa kama Mgunda juu ya wapuliza filimbi
Dakika zilizoongezwa ziliisha. Mwamuzi ana haki ya kumaliza mpira ndani ya dakika za nyongeza alizoongeza ama akaongeza muda wa dakika za nyongeza kulingana na mchezo unavyoondelea.Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplished
Makosa ya kitoto ni kwl walikuwa Wanafanya ila magoli yote hayakuwa yakitoto hio Ndio inaitwa team strategyKocha wa Mashujaa amekubali kiroho safi kwamba wachezaji wao walikuwa wanafanya makosa ya kitoto ndiyo maana wameigharimu timu halafu wewe na kitambi chako usiyejua hata kupiga danadana mbili unajifanya unaujua mpira.
Mgunda ni mwanafamilia alipona kupewa adhabu hata baada ya kuwaita wapuliza filimbi. Angekuwa mayanga au Ali kamwe angeshapigwa runguMbona makocha wengi tu wanalalamika kwamba refa hakuwa fair kwenye mchezo husika na hakuna anayechukuliwa hatua?
Sasa wewe weka hapa tukio ambalo liliamuliwa kinyume na sheria 17 za mpira wa miguu.
Tatizo liko kwa rais wa tff, anatangulia ushabiki na mapenzi yake kwa simba. Wameazimia mwaka huu lazima simba ichukue ubingwaDamu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?
Endelea kukariri. Uzuri wenye akili pale utopoloni bado hawajaongezeka idadi yao ipo ile ile wawili.Mgunda ni mwanafamilia alipona kupewa adhabu hata baada ya kuwaita wapuliza filimbi. Angekuwa mayanga au Ali kamwe angeshapigwa rungu
Toa mfano wa mechi iliyoongezwa dakika 25 ya jumla kwa vipindi vyote kisha angalia sababu halafu uje hapa.Nihitimishe kusema endelea kucheza rede achana na football mkuu.
Hivi huwa unafuatilia mpira wa nje hasa Ulaya? Huko zikiongezwa dakika chache ni 10 endapo timu ilikuwa inapoteza muda lakini ikiwa muda ulipotea zaidi basi zinaongezwa hata 15.
Zikipotea dakika hata 40 refa ana haki ya kusimamisha muda na kuongeza hizo dakika 40 zilizopotea.
Kumbuka football popote inapochezwa zinafuatwa sheria za FIFA.
Asilimia 70 ya rafu hazikua sahihi na zilikua za upande mmoja.Hili swali nimeuliza pia, hakuna anayejibu. Kwa ufupi wengi wanafuata mkumbo tu, ukimuuliza peke yake hana jibu
Wakati utopolo anabeba misimu mfululizo aliyejuu alikua amelala?? Acheni mentality za kijinga ,mbina huko kimataifa timu zinafanya vzr hao marefa wanahusika?Siku hizi JWTZ wananidhamu sana. . Zamani walikua hawataki ujínga ujinga.
Au pengine ni maagizo kutoka juu kabisa kua safari hii ni zamu ya Msimbazi wa take wasitake.
Timu ya nyumbani kwa VP halafu inafanyiwa uhuni bila shaka yupo aliye juu ya VP ambae ni myama lialia anajificha tu kutokana na wadhifa wake hataki kuwagawa wa TZ
Haiukushangazi watu kujiamini kupita kiasi?
Huna akili hujui mpira,itoshe kusema hivyoAsilimia 70 ya rafu hazikua sahihi na zilikua za upande mmoja.
Penalty zote mbili hazikua sahihi na hii ni tabia ya Shomari kapombe kujiangusha kwa Kila contact inayo tokea kwenye eneo la hatari ili apewe penalty tayari imeota mizizi.
Inatakiwa marefa watenda haki wa myooshe kwa kadi.
Asilimia 50 ya mechi za Simba msimu huu kuanzia za NBC mpaka za kimataifa zimegubikwa na Rushwa na ilo halina ubishi.
Eneo alilopo Simba kwenye msimamo wa NBC si halali kuwepo apo, Marefa ndio walio iweka Simba apo ilipo .
Nashauri mechi za Simba zilizo baki zisiwe zina rushwa live kwakua ni mambo ya aibu na kudhallisha Nchi katika swala la Fairplay.
Kipindi cha kwanza mpira hauku simama lakini ziliongezwa dk 8 badala ya mbili.
kipindi cha pili mpira haikustahili kuongezwa dk zaidi ya 5 lakini ziliongezwa dk 17 ayo si makosa ya kibinadamu bali ni upangaji wa Matokeo.
Hata goli lisingeingia angemaliza mpira ,au ulitaka mpira uendelee ili uzidi kumlaumu refa?Kwahiyo timu lengwa ikifunga bao la ushindi mpira unakwisha hapohapo, mission accomplished
Wanatumia fedha nyingi kushinda mechi zao kuliko zawadi ya mshindi. Hata wafadhili na wadau wa mpira tz sote wana macho, wanayaona mauzauza haya.Asilimia 70 ya rafu hazikua sahihi na zilikua za upande mmoja.
Penalty zote mbili hazikua sahihi na hii ni tabia ya Shomari kapombe kujiangusha kwa Kila contact inayo tokea kwenye eneo la hatari ili apewe penalty tayari imeota mizizi.
Inatakiwa marefa watenda haki wa myooshe kwa kadi.
Asilimia 50 ya mechi za Simba msimu huu kuanzia za NBC mpaka za kimataifa zimegubikwa na Rushwa na ilo halina ubishi.
Eneo alilopo Simba kwenye msimamo wa NBC si halali kuwepo apo, Marefa ndio walio iweka Simba apo ilipo .
Nashauri mechi za Simba zilizo baki zisiwe zina rushwa live kwakua ni mambo ya aibu na kudhallisha Nchi katika swala la Fairplay.
Kipindi cha kwanza mpira hauku simama lakini ziliongezwa dk 8 badala ya mbili.
kipindi cha pili mpira haikustahili kuongezwa dk zaidi ya 5 lakini ziliongezwa dk 17 ayo si makosa ya kibinadamu bali ni upangaji wa Matokeo.
Mimi sina tatizo na muda wa nyongeza ulioongezwa.Toa mfano wa mechi iliyoongezwa dakika 25 ya jumla kwa vipindi vyote kisha angalia sababu halafu uje hapa.
Hii ni rekodi.