Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?!

Wahindi na waarabu wengi wao ni mafundi wa biashara za kilanguzi,ni wahongaji na wachakachuaji wazuri....wana jumuiya zao ambapo hukopeshana na kupeana deals mbalimbali.Uzuri wao ni kuwa,ulevi na anasa za kipuuzi hawazifagilii,hata ukienda picnic,utakuta familia zao zinakunywa soda na cheuro while sisi wabongo tunabwia bia,whisky na kitimoto(expensive stuff).

Hapo kwenye nyekundu, unanikumbusha pale ambapo mwanasheria mmoja maarufu TZ alisema bila kumwingiza mzungu kwenye deal kubwa, Mwafrika huwezi fanikiwa na huheshimiki. Tumepelekeshwa na CCM kwa miaka 50plus mpaka hatujiamini kabisa kua kuna tunaloliweza.

Naamini kama tuna serikali imara mlanguzi ama mchakachuaji yeyote atadhibitiwa na Polisi, kwa bahati nzuri Polisi wetu ni Waafrika.

wahindi na waarabu wanapenda ku monopolise biashara ya mafuta hivyo watanzania wakijaribu kuingia wanapata vikwazo vingi sana.pili swala la mtaji pia hukwamisha watu,tatu uzoefu wa biashara husika ni kikwazo kingine kinachokwamisha wabongo kutia maguu kwenye hiyo biashara.n hayo tu

Wahindi na Waarabu siyo Watanzania?

Ukweli hubaki kuwa ukweli.

Leo tunalalamika wakati tunajijua wazi kabisa kuwa hata makazini hatuishi:

Kufiwa: Leo mjomba kesho anti, kesho kutwa bibi, mpaka wengine wanasahau leo sijui waseme wamefiwa na nani. Kuumwa, kwenda kunywa chai saa za ofisi, masababu kibaao.

Hatujui kuwajibika kabisa, kila kitu baadae, njoo kesho, leo hayupo kenda kuzika, ametoka kwenda kula, atarudi sasa hivi msuniri kidogo.

Nenda kwenye biashara za wahindi na waarabu, hukuti kitu kama hicho. Akiumwa anaumwa kweli, akifiwa kafiwa kweli. Halafu tunataka kushinda nao?

hilo umesema sisi hatuwawezi hawa weupe wapo systematic sana katika biashara

hao ni wajanja katika biashara zote wanazofanya wala si mafuta peke yake,hata madukani ni hivyo hivyo,wa tz wapo kama ni washirika na wanakuwa nyuma ya pazia.

Hawa ndio wanaoisumbua serikali yetu legelege! Mara wagome kufungua sheli zao,mara wachakachue mafuta,Anywayz ipo siku.

Punguzeni maneno chapeni kazi kama mnaweza badala ya kutaka serikali ikununulie shares kwenye kampuni za watu. Au fanya kampuni yako nawe uagize na kusambaza mafuta. Umezuiwa ?

Enzi za mashirika ya uma zimepita - hayo ndio yalileta umasikini nchi hii.

View attachment 34907

..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.

..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.

..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?

..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?

..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.

kila nji ina watu wake wanaoshikilia uchumi...Tanzania imejaaliwa kuwa na wahindi.

U mean wasio wakristo ni wazulumaji???????kweli bichwa lako limejaa mlenda
Si kweli kwamba wana mitaji mikubwa, ni kazi/biashara ambayo ni ya kizulumati sana

Ukiwa na roho wa Mungu huifanyi hio biashara. Mm nafanya kazi na watu wa mafuta nawajua sana. Mleta mada angeongezea pia mbona wauzaji wa mafuta 90% sio wakristo???

Tuangalie kwa makini hii sector ikiingiliwa kama Tanesco italeta balaa kubwa kuliko hata umeme. Naogopa isije kuwa wale waliopoteza biashara ya kuchakachua kwa kerosine wameamuakurudi kinyuma nyuma na kuanzisha hii move ambayo ina kila dalili ya kuyaondoa makampuni makubwa ya nje katika soko letu.
Black market inaweza kabisa kuanza na kufanywa na kampuni za kishikaji kuliko multinations kwa sababu ya miundo ya kampuni hizo. Haiwezekani ukanunua kitu kwa shillingi kumi halafu ukakiuza kwa shillingi nane ukategemea utaendelea kuwa kwenye biashara kama huna namna mbadala unayoitumia. Mtazamo wangu ni kuwa ni vema tukazifahamu facts zote ili tutoe hoja za haki maana energy sector imekuwa shamba la bibi siku hizi

Duh Jamani bado tu mnawalaumu waarabu... Haya nawauliza tena Mungu kawapa jangwa lenye mafuta leo mnataka biashara ya mafuta maadam inaingia kwenu basi muishike wenyewe? Haya Mungu kawapenia rdhi yenye rutuba, leo mnasema kilimo sio uti wa mgongo mnataka kufanya biashara ya mafuta hali mafuta yenyewe ya mwarabu kisha huna mtaji kwa sababu mmetelekeza kilimo..

Mungu katuzawadia Maliasili na Rasilimali kibao ambazo hawa waarabu na wahindi wangeomba wapewe kulingana nasi lakini hayatoshi kwetu isipokuwa kufuru ya tunatazama mwarabu na Mhindi ana kitu gani. Na sijui kama tungepewa jangwa lenye mafuta tungeweza hata kujikimu maanake tumeshindwa kabisa hata kazi na biashara ndogo za kiasili.. Tazama Sudan na Nigeria wanayo mafuta lakini ndio wanauana utafikiri wanyama mbuga ya serengeti..
Kisha haya ya kusema mbona wauza Mafuta (wachuuzi) 90% sio wakristu ni ufinyu wa miafrika ktk kujazia, ikiwa 90% ya waarabu na wahindi sio wakristu ulitegemea itokee miujiza gani?. Hata, hivyo ili wauze mafuta hayo, hao Waarabu na Wahindi wote wanawategemea wazungu ambao asilimia 90 ni wakristu!

Kwa namna hawa wadosi wanavyoiendesha puta serikali legelege ya JK, mtu unashindwa kuelewa hawa watu wana nguvu kiasi gani.

Isijekuwa kuna wamatumbi wenzetu nyuma ya pazia, hawa wadosi wanatumika kimtindo?? au inawezekana hawa wadosi wanapenyeza sana rupia kwa wamatumbi wenzetu walioko kwenye ngazi za maamuzi hivyo kuwafanya kushikwa na kigugumizi katika kuwachukulia hatua wanapotuibia.

Mambo kama haya ndo husababisha wakati mwingine mtu umkumbuke "mzee wa ma*********".

Nilimwangalia bwana Masebu jana TBC1 , kwa kweli jinsi alivyokuwa anajiuma uma kuzungumzia hatua atakazochukuwa kwa watakaoshindwa kuuza mafuta wala sintoshangaa, inawezekana kweli kabisa hao Wamatumbi wamesha penyezewa hizo rupia.. haiwezekanai mtu ashindwe kuongea wakati sheria iko wazi na ana mamlaka yote na taifa zima liko nyuma yake!

Hilo ni swali zito sana na jibu lake limebeba siri nzito vile vile; wala si swala la mtaji, si swala la ngozi hizo nyeupe tu kufahamu visima vya mafuta vilipo - nasema kuna siri nzito hapo Watanzania hapa ndiko tunakopetea uchumi wetu miaka nenda rudi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Why being racist......ni suala la kufanya biashara with 100% commitment.......wanaowauzia mafuta dealers wa Tanzania ni International Energy agencies ambao hawaangalii rangi yako bali pesa yako......pili EWURA hawakatai kumpa mtu leseni kama una plan yako as kwao wao wanazidi kupata hela ya marking at 6 Tshs per every ltr somebody imports..........Tatu biashara ya mafuta ni yenye hela na at the same time requires huge capital to risk.........unaweza ukaingia hasara kama unategemea kuimport with intention of kuhifadhi mzigo kwenye matanki ya makampuni mengine........

TOTAL, ENGEN NA BP ( the final one's asset have been sold to foreign form) all are not wahindi, waarabu owned company.........

GAPCO is owned by Reliance Industries which ofcourse owned by Indlian Tycoon Ambani......but these guys are also Largest in Tanzania but also in world with BP recently investing in Reliance........

Problem ya nchi yetu ni hivi watu wanaongea pumba nyingi rather than working hard and once they are not achieving their potential wanaanza kutafuta mchawi......

My take on fuel business: It can be done with huge capital involved and huge risks at the same time as Prices are monitored by global market forces and not local......secondly after fiasco ya EWURA na fuel stakeholders...... nimekuja kujua kwa nini mashirika ya umma yanakufa.....tunafanya maamuzi kwa kufurahisha watu rather than looking at profit and loss margin.......na kwa hali hii serikali ikifanya biashara ya bulk importation ya fuel ......i am pretty much sure they are going to screw it kama kawaaaaaaaaaaaaa......

Tuache ubaguzi bali tufanye kazi kwa bidii na kurekebishana .........kwani hivi Serikalini huwa kuna wahindi tu na waarabu.......na kule ndio ufisadi umenoga sawa sawa

View attachment 34907

..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.

..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.

..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?

..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?

..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.

Mkuu si kweli kwamba hao si watanzania, wengi wa hao mababu zao na mabibi zao ni wazaliwa wa Tanzania. Kinachosikitisha hapo si kwamba hao watanzania wenye asili ya asia ndiyo pekee waagizaji wa mafuta la, wapo weusi wenzetu tena wengi tu ila wanawatumia hawa kwa kuwa utamaduni unaonesha kuwa hawa ndiyo wenye asili ya biashara.

Ukweli ni kwamba weusi wenzetu wengi sana, wameingia kwenye siasa ili kuwasafishia njia hawa jamaa zao kwa kuhakikisha madili yote yanaenda kwao hawa, mgao badae, wanahakikisha kuwa mweusi yoyote akijitokeza kuwa frontline kwenye biashara hii wanamkata miguu kabla hajakimbia ili kulinda biashara zao wanazo-share na hao kwenye avatar yako.

Weusi wenzetu waliopo kwenye siasa na uongozi wa nchi wanahakikisha pia, kama hawa jamaa zao wanatiwa hatiani kwa uchakachuaji hawapatiwi adhabu kali kwani inapunguza faida na mgao kwa weusi wenzetu walioshikilia uongozi wa siasa. Kwa ujumla ni kwamba hao wote hapo wana-share na weusi wenzetu walio katika uongozi, kamwe hawatakubalia kukuona wewe mtanzania mweusi unajiingiza kwenye biashara zao na washirika wao wenye asili ya asia.

..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.

..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.

..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?

..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?

..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.

I share your plight!
Nikukumbushe sera ya watawala wetu. BWM alisema watanzania ni wavivu wa kufikiri na mizego kapinda Watanzania wavivu, wanasababu nyingi ya kutokuwepo kazini nk. Hivyo wanatukuza wageni na kuwapa nafasi ya juu katika kila kitu hata kwenye uslama na haki, Mtanzania mzawa atanyimwa.
Hii serikali ina sera mbovu sana kwa watu wake, ni mawakala wa hawa jamaa kwa hongo ndogo ndogo, wanaturudisha utumwani.

Ni muhimu kuwa na katiba isimamiayo haki ya wazawa. Lakini wakati huu wa JK! Sidhani kama kuna kitu. Mbaya zaidi tutasherehekea Miaka 50, MIKATABA mkubwa kama wa madini hasa Uranium na mafuta. Hili ni pigo kubwa kwa watanzania kuliko hata Carl Petro

Back
Top Bottom