Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?!

Wewe hivi upo dunia gani? Mainvestor wakubwa Marekani, Uingereza ni Wahindi na Waarabu. Waarabu wana stake kubwa ktk kila kampuni Marekani. Walitaka hadi kununua port, lakini Udini ukaletwa kuwazuia. Wewe unafikiri hela za mafuta za Waarabu zinafanya kazi gani?

[h=1]Who owns America? Hint: It's not China[/h]Editor's Note: The following piece comes from Global Post, which provides excellent coverage of world news - important, moving and odd.

By Tom Mucha, Global Post
Truth is elusive. But it's a good thing we have math.

Our friends at Business Insider know this, and put those two principles to work today in this excellent and highly informative little slideshow, made even more timely by the ongoing talks in Washington, D.C. aimed at staving off a U.S. debt default.

Here's the big idea:
Many people - politicians and pundits alike - prattle on that China and, to a lesser extent Japan, own most of America's $14.3 trillion in government debt.

But there's one little problem with that conventional wisdom: it's just not true. While the Chinese, Japanese and plenty of other foreigners own substantial amounts, it's really Americans who hold most of America's debt.

Here's a quick and fascinating breakdown by total amount held and percentage of total U.S. debt, according to Business Insider:

• Hong Kong: $121.9 billion (0.9 percent)
• Caribbean banking centers: $148.3 (1 percent)
• Taiwan: $153.4 billion (1.1 percent)
• Brazil: $211.4 billion (1.5 percent)
• Oil exporting countries: $229.8 billion (1.6 percent)
• Mutual funds: $300.5 billion (2 percent)
• Commercial banks: $301.8 billion (2.1 percent)
• State, local and federal retirement funds: $320.9 billion (2.2 percent)
• Money market mutual funds: $337.7 billion (2.4 percent)
• United Kingdom: $346.5 billion (2.4 percent)
• Private pension funds: $504.7 billion (3.5 percent)
• State and local governments: $506.1 billion (3.5 percent)
• Japan: $912.4 billion (6.4 percent)
• U.S. households: $959.4 billion (6.6 percent)
• China: $1.16 trillion (8 percent)
• The U.S. Treasury: $1.63 trillion (11.3 percent)
• Social Security trust fund: $2.67 trillion (19 percent)
So America owes foreigners about $4.5 trillion in debt. But America owes America $9.8 trillion.
For a smart take on how President Obama and House Republicans should end gridlock over debt and deficits, see our new GlobalPost series

The Negotiator
, which features Wharton's negotiation guru Stuart Diamond.
And to bone up on China's debt - another potentially big global economic headache - check out this interview with brainy-yet-coherent Northwestern University economist Victor Shih, who spoke with GlobalPost's David Case.

Post by: Tom Mucha

View attachment 34907

..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.

..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.

..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?

..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?

..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.

Damn it!!
Africanize?? wewe kwanini haujaingia humo kakukataza nani? Hii biashara kama nyingine mtu huamua kuingia kutegemea na ubavu wake. Au unataka kusema Serikali imewapa hawa na kuwanyima watz weusi?

Why being racist......ni suala la kufanya biashara with 100% commitment.......wanaowauzia mafuta dealers wa Tanzania ni International Energy agencies ambao hawaangalii rangi yako bali pesa yako......pili EWURA hawakatai kumpa mtu leseni kama una plan yako as kwao wao wanazidi kupata hela ya marking at 6 Tshs per every ltr somebody imports..........Tatu biashara ya mafuta ni yenye hela na at the same time requires huge capital to risk.........unaweza ukaingia hasara kama unategemea kuimport with intention of kuhifadhi mzigo kwenye matanki ya makampuni mengine........

TOTAL, ENGEN NA BP ( the final one's asset have been sold to foreign form) all are not wahindi, waarabu owned company.........

GAPCO is owned by Reliance Industries which ofcourse owned by Indlian Tycoon Ambani......but these guys are also Largest in Tanzania but also in world with BP recently investing in Reliance........

Problem ya nchi yetu ni hivi watu wanaongea pumba nyingi rather than working hard and once they are not achieving their potential wanaanza kutafuta mchawi......

My take on fuel business: It can be done with huge capital involved and huge risks at the same time as Prices are monitored by global market forces and not local......secondly after fiasco ya EWURA na fuel stakeholders...... nimekuja kujua kwa nini mashirika ya umma yanakufa.....tunafanya maamuzi kwa kufurahisha watu rather than looking at profit and loss margin.......na kwa hali hii serikali ikifanya biashara ya bulk importation ya fuel ......i am pretty much sure they are going to screw it kama kawaaaaaaaaaaaaa......

Tuache ubaguzi bali tufanye kazi kwa bidii na kurekebishana .........kwani hivi Serikalini huwa kuna wahindi tu na waarabu.......na kule ndio ufisadi umenoga sawa sawa

Hatuwezi kushangaa kwa crap hizi ulizoweka hapa-hilo jina lako linaonyesha wazi kuwa we ni 'mali toka bombay'

Umelanguliwa nini wakati bei za mafuta zinapangwa na EWURA kwa muda sasa. Unanchekesha!

Nawe FF upunguze u-majinuun siku mojamoja-Sasa kama hawa jamaa hawatulanguli kwa nini kakaako nepi na chama chake walikuja na proposal ya kushusha bei? na walipopandisha mafuta ya taa kwa kisingizio cha kuwa awa jamaa zako wa kihindi wanachakachua huo pia si ulanguzi? Acha bibi, kwa kuwa wewe ndo ushasema kwako hapo lumumba (possibly makao makuu ya chama) ukiwa busy kutetea huo ujuha wa chama chako lakini kwa sisi tunaokaa madongo poromoka mafuta+uchakachuaji is a big issue! Hawa ni walanguzi tu tena wabaya kabisa. Just imagine wamekuwa majeuri hata kufikia kuipa serikali ultimatum ya 24 hours! Kweli, serikali iliyowekwa na dola yenye jeshi, polisi,jkt, mgambo,TISS inapewa ultimatum na kijitu kimoja tu? Nimeililia sana tzania yangu siku ile kauli ilipotolewa!

Huyo alianza kwa bucha ya nyama pale mtaa wa Jamhuri, karibu na Naaz Hotel enzi hizo, siku hizi kuna Chinese Restaurant. Si unaona katokea wapi? kwenye bucha ya nyama!

Haya unayosema Faizafoxy ni kweli kwasababu nimekulia maeneo hayo na hiyo bucha ya akina Bahashwan karibu na Naaz hotel pale nyuma ya iliyokua Odeon Cinema ilikuwa ni bucha pekee upande wa kaskazini mashariki mwa barabara ya morogoro pale uhindini.

Na ndugu yake (Marehem Abdallah Bahashwan) alikuwa na duka la kuuza viungo (spices) ambalo mbaka sasa linaendelezwa na wanawe, huko uhindini.

Bado hujajibu maswali: jina la "duka la viungo"? mtaa? majina ya hao "watoto tu"?

Jina la duka ni Bahashwan.

Huyo Abdallah Bahashwan alianzisha duka la viungo kwenye barabara Morogoro karibu na mtaa wa mshihiri lilikuwa ni duka pekee uhindini la kuuza viongo/mafuta/nafaka kwa bei ya chee sana. Kawaida maduka haya ya viungo yalikuwa kariakoo tuu, kuanzia mtaa wa pemba au hata mkunguni au ule mtaa wa ukami pale karibu na msikiti wa Manyema na new street (Lumumba) moja kwa moja ukielekea kusini magharibi ya Dar mpaka msimbazi hapo palikuwa na msururu wa viduka vya warabu na wahindi koko (wale walio changanya damu na waafrika).

..hizo biashara za viungo na mabucha ni geresha tu, lakini most of them made their money thr' uwindaji haramu.

..hizo biashara za viungo na mabucha ni geresha tu, lakini most of them made their money thr' uwindaji haramu.
Kumbe unawajua eeh, biashara zao kubwa ni za magendo magendo kama pembe za ndovu ila wao hupenda kujichanganya na waafrika hata damu wanachanganya.

Hatuwezi kushangaa kwa crap hizi ulizoweka hapa-hilo jina lako linaonyesha wazi kuwa we ni 'mali toka bombay'

Kama kawa badala ya kujibu hoja umekimbilia ubaguzi......atleast I have balls kuandika jina langu.....wewe Zinedine ni jina la babu yako I doubt more likely Karumanzira.......dont be shy bout ur name dude........Nipinge kwa hoja.....sio kwa rangi.......Ndio maana nchi haiendelei......unajenga hoja huijaifanyia mada research.........l feel sorry for you Zinedine......mmhhh sorry KArumanzira......

Eehh?? Hilooo, liangalie kwanza! Kwa mara nyingine tena, nimekuumbua jinsi ulivyo mwongo na mzushi mkubwa! Umezoea majibu ya mkato na kujifanya kila kitu wewe unajuwa. Nyambaaf!

Nilikuwa najiuliza kwanini unishobokee ghafla? nikapata majibu kwenye post yangu hii hapa chini, kumbe ili ku touch! mpo wengi a namna hii wala usikasirike:

Ukweli hubaki kuwa ukweli.

Leo tunalalamika wakati tunajijua wazi kabisa kuwa hata makazini hatuishi:

Kufiwa: Leo mjomba kesho anti, kesho kutwa bibi, mpaka wengine wanasahau leo sijui waseme wamefiwa na nani. Kuumwa, kwenda kunywa chai saa za ofisi, masababu kibaao.

Hatujui kuwajibika kabisa, kila kitu baadae, njoo kesho, leo hayupo kenda kuzika, ametoka kwenda kula, atarudi sasa hivi msubiri kidogo.

Nenda kwenye biashara za wahindi na waarabu, hukuti kitu kama hicho. Akiumwa anaumwa kweli, akifiwa kafiwa kweli. Halafu tunataka kushinda nao?

..hizo biashara za viungo na mabucha ni geresha tu, lakini most of them made their money thr' uwindaji haramu.

Huo ni usongo na upungufu wa mawazo, ungemjuwa mtu mwenyewe usingesema hayo. Halafu kwa kuwa mawazo yako ni mgando hujui hata kama biashara ya viungo (spices) ni historically na ni moja katika biashara kubwa duniani, mataifa mengi yanajulikana duniani kwa viungo tu na ndio moja ya mazao yenye faida kuliko hata hizo pembe. Unanshangaza sana.

are they (localpetroleum companies owned by arabs) doing clean business??

NOPE! I DONT THINK SO, HAO HASWA WAHINDI NI WAKWEPA KODI WAKUU, WANAPENDA SANA MAGUMASH NA NJIA ZA PANYA! NADHANI NDO MANA HATA WESE NI FULL KUCHAKACHULIWA LOOOL

Nawe FF upunguze u-majinuun siku mojamoja-Sasa kama hawa jamaa hawatulanguli kwa nini kakaako nepi na chama chake walikuja na proposal ya kushusha bei? na walipopandisha mafuta ya taa kwa kisingizio cha kuwa awa jamaa zako wa kihindi wanachakachua huo pia si ulanguzi? Acha bibi, kwa kuwa wewe ndo ushasema kwako hapo lumumba (possibly makao makuu ya chama) ukiwa busy kutetea huo ujuha wa chama chako lakini kwa sisi tunaokaa madongo poromoka mafuta+uchakachuaji is a big issue! Hawa ni walanguzi tu tena wabaya kabisa. Just imagine wamekuwa majeuri hata kufikia kuipa serikali ultimatum ya 24 hours! Kweli, serikali iliyowekwa na dola yenye jeshi, polisi,jkt, mgambo,TISS inapewa ultimatum na kijitu kimoja tu? Nimeililia sana tzania yangu siku ile kauli ilipotolewa!

Inaonesha hata dunia inavyokwenda hujui, hivi ulikuwa husikilizi bunge? husomi hata magazeti basi? bei za mafuta zilitangazwa bungeni kuwa zitashuka kutokana na viwango vya kodi na ushuru tofauti kwenye mafuta kushushwa, Unanshangaza sana, kuandika pumba.

Mainun ni wewe uliejiliza kwa biashara usizozijua (sijui kama biashara unaijua hata moja). Unanchekesha!

Kama kawa badala ya kujibu hoja umekimbilia ubaguzi......atleast I have balls kuandika jina langu.....wewe Zinedine ni jina la babu yako I doubt more likely Karumanzira.......dont be shy bout ur name dude........Nipinge kwa hoja.....sio kwa rangi.......Ndio maana nchi haiendelei......unajenga hoja huijaifanyia mada research.........l feel sorry for you Zinedine......mmhhh sorry KArumanzira......

Umeona eeh? ndio maana maendeleo yanakuwa finyu, wana mawazo mgando. Hao ndio wale "baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Haya unayosema Faizafoxy ni kweli kwasababu nimekulia maeneo hayo na hiyo bucha ya akina Bahashwan karibu na Naaz hotel pale nyuma ya iliyokua Odeon Cinema ilikuwa ni bucha pekee upande wa kaskazini mashariki mwa barabara ya morogoro pale uhindini.

Jina la duka ni Bahashwan.

Huyo Abdallah Bahashwan alianzisha duka la viungo kwenye barabara Morogoro karibu na mtaa wa mshihiri lilikuwa ni duka pekee uhindini la kuuza viongo/mafuta/nafaka kwa bei ya chee sana. Kawaida maduka haya ya viungo yalikuwa kariakoo tuu, kuanzia mtaa wa pemba au hata mkunguni au ule mtaa wa ukami pale karibu na msikiti wa Manyema na new street (Lumumba) moja kwa moja ukielekea kusini magharibi ya Dar mpaka msimbazi hapo palikuwa na msururu wa viduka vya warabu na wahindi koko (wale walio changanya damu na waafrika).

Wafahamishe hao wakuja.

FF kwa mara ya kwanza nimekukubali...at least umezungumza hoja yenye mashiko
Waarabu wa zamani hapa Tanzania walikuwa na biashara za maduka ya rejareja, karibu yote Dar.

Wamepand kidogo kidogo mpaka sasa wana hayo makampuni makubwa makubwa, sasa wewe unataka uanze kukimbia hata kutambaa hujaanza?

Wachaga ni mfano mzuri wa biashara (wana ila moja tu, ambayo waarabu hawana), wanaanza kibanda cha sigara, mara viwili, mara vitatu, mara wanaenda Dubai mara wanashindana na AM.

Mbaya zaidi wahindi hawa hawataki kutii maagizo ya serikali ya kushusha bei za mafuta,huku wakiendelea kukaa kwenye nyumba za shirika la nyumba Tanzania kwa malipo kidogo na wengine hawalipi kabisa,mbaya zaidi ndo wanaongoza kwa kunyanyasa vibarua! Kwanini wasifungiwe lesseni za biashara na kupewa saa 24 wawe wametimukia kwao?Je, tutawanyenyekea hadi lini?Natamani sana enzi za Mhe. Mrema alipokuwa na makali.

Back
Top Bottom