DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.
..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.
..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?
..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?
..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.
Natumaini ulimaanisha hivi!!!!!!!!!!!!! hapo kwenye RED
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA ..............................NILALALAPO NAKUOTA WEWE NIAMKAPO NI HERI MAMA WE!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 34950
Picha juu eti hawa ni ya Watanzania Wazalendo waagiza Mafuta kwa niaba ya Watanzania,ili tujenge Tanzania yenye USAWA,UPENDO,UNDUGU na UKIZINGATIA WOSIA WA BABA WA TAIFA.TAIFA HILI LITAJENGWA NA WAZALENDO WENYE MOYO WATAKAO VUTWA NA UCHUNGU WA KUWASAIDA KUWAINUA MASKINI NDUGU ZAO WALIOKO KATIKA VIJIJI VYETU NCHI NZIMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UCHUNGU MPAKA BASI SIPENDI LAKINI SINA JINSI ACHA HEKIMA NA BUSARA ICHUKUE MKONDO WAKE IKO SIKU ISIYO NA JINA .
Watawala wetu haya yana mwisho.
Kwa picha hiyo na tabia za vigogo wa biashara za mafuta wao wametuma wawakilishi wao hapo sizani kama wenyewe wametia timu hapo.
Hakika ukombozi wa kumilki uchumi na rasimali kwa Watanzania halisi bado,ndio maana mpambano utazidi kuwa mkubwa.