Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.
Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?
Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
Documentary zipi?Nimetazama documentary zote tatu. Nimetokwa machozi. Nafikiri hata lile tukio la kule Kilimanjaro lililouwa watu lichunguzwe.
Leta tuone?Hapo yesu itakuwa alikosea bana hakuna nabii wa uongo watu wamefanya miujuza tukashuhudia anakuaje nabii wa uongo?
Japo sipingi wala sikubali madai yako maana sina fact zake. Ila jamaa mwishoni alibaki na neena tu kibali kiliondoka.Leta tuone?
Yule mbwa kuna siku niligombana na mtu nikamwambia yule tapeli muda utasema.
mdhalimu yule na alikuwa Malaya wa kutupwa na kujificha mwamvuli wa dini.
Ukiwa moto kuwa moto ukiwa baridi baridi tukujue.
Case closed 😂😂SASA TUCHUKULIE TUHUMA HIZI NI ZA KWELI, AFUFULIWE? ASHITAKIWE?
Ukijiingiza kwenye information war ya identity crisis, kunakuwa na facts na wanaopinga facts kwa sababu yabidentity.Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Takribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Sisi wamatumbi tupo tupo tu duniani kama machawa.Vipi wewe mmatumbi mwenzangu.
Nani aliyempa huo unabii mkuu na upako unatolewaje. Huduma za kinabii muwe nazo makini wadau Kuna ujanja mwingi . Mtu anamkaa asbh anajitangaza nabii biblia. Tulionywa tusiamini Kila rohoAlikuwa ndie Nabii mkuu wa Africa ndie kawapa upako manabii wengi waafrika.wa bongo anajulikana,
Sasa huo unabii feki mpaka aje aseme Mwanamke wa Kizungu ndio Uamini? Hilo linadhihirisha umekamatwa kufikiria kwa uwezo wako na kudadavua unabii wake. (Una ukasuku) Yani mpaka unamuita Mbwa! YeboLabda kama ingekuwa imeanza sasshiv kweli ingekuwa maslahi.
Ila muda tu ila zikawa zinazimwa kwa nguvu ya pesa.
Mbio za sakafuni hizo muda ni mwalimu mzuri yule mbwa alikuwa hana miujiza yoyote zaidi ya utapeli na umalaya.
Yesu alisema manabii feki watatokea ndio hawa, kupinga hilo ni unampinga yesu.
...ni tabia iliyo ndani ya damu zao. Kila wakati akitokea kioo wa Mwafrika, wao huja na Character assasination
This is a trend ya wanawake wazungu kila mahali walipo Waafrika walio succesful.
BBC inajaribu kuwatoa watu gizani lazima washambuliweTakribani ni siku nne sasa BBC inarusha makala za kuonyesha hujuma zilizofanywa na mhubiri TB Joshua.
TB Joshua ndiye chachu iliyozaa manabii karibu wote Afrika na nje ya Afrika kwa zama ya Leo.
Hivyo ukimgusa TB Joshua ni sawa na kuwagusa manabii na mitume wote wa Afrika.
Wafuasi wa mitume na manabii waijia juu BBC.
Wengine wakiahidi kuwa hawataamini tena habari yoyote itakayotolewa na BBC,
Wengine wanaitabiria anguko BBC.
Dini ni hatari zaidi ya bomu la nyuklia.
Katika vitu ambavyo mwanadamu anapaswa kuwa makini anapoongea ni pale atakapoongea jambo linalohusu dini l/njia au Imani.
Mkuu be very careful na himaya yangu.Wewe ndio wakala wa mpinga kristo.
Yesu alisema kuweni makini watakuja manabii feki, kwahyo wewe una akili sana kuliko yeye?
Yule kenge tulishamuona muda mrefu, hakuna kitu pale katika manabii feki aliowaongelea yesu yule ndio alikuwa kiongozi
UKWELI NI KWAMBA BBC INAFANYA KAZI NZURI KUFICHUA MALAYA WANAOTUMIA MWAMVULI WA DINI AU VAZI LA UTAKATIFU.Mkuu be very careful na himaya yangu.
Anyways, mbona hamkusema lolote kama mlikuwa mmeshamuona?
The allegations are unfounded and Racist in nature. BBC ni hovyo sana.
Sasa unafokafoka nini. Punguza kelele.UKWELI NI KWAMBA BBC INAFANYA KAZI NZURI KUFICHUA MALAYA WANAOTUMIA MWAMVULI WA DINI AU VAZI LA UTAKATIFU.
HUNA UTAKACHOSEMA STORI ZAKE ZILIKUWEPO MUDA ILA ALIKUWA AKINYAMAZISHA WATU NA SERIKALI HAIFANYI KITU.
BORA YULE MBWA MALAYA ALIVYOTOKA.
YESU ALISEMA KUWENI MAKINI NA MANABII FEKI NDIO LILE GAIDI.
WATU WANAKUFA HAKUNA UCHUNGUZI UNAOFANYIKA SABABU TU NI NABII.
FOOLISH
Lusifa kupitia mawakala zake wagangaNani aliyempa huo unabii mkuu na upako unatolewaje. Huduma za kinabii muwe nazo makini wadau Kuna ujanja mwingi . Mtu anamkaa asbh anajitangaza nabii biblia. Tulionywa tusiamini Kila roho