wew mwanamalundi ngoja nikuulize swali dogo/kubwa sana kwako naomba unipe nini maana ya IQ na naomba unieleze kisayansi kama inatumika na siyo jinsi unavyofikira wewe, kwa maana hicho ndicho kigezo cha msingi wote wa majadiliano haya na huyo MWIZI watson katumia kigezo cha IQ, baada ya hapo nitakujibu/kukuelezea maswali yako..asanteTukubali tusikubali waafrika (na hapa ninawaongelea wabantu wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara) IQ yetu ni ndogo. Kusoma vyuo vya ulaya haitoshi kuonyesha kuwa IQ yetu ni sawa na waliojenga misingi ya elimu ya magharibi. Nitawapa mifano:
The University of Bologna is one of the oldest universities in the world. It was founded in the western world (AD 1088).University of Paris was founded in 12th century. University of Oxford developed rapidly from 1167, when Henry II banned English students from attending the University of Paris.
Niliwahi kuuliza kwenye posti Fulani somewhere. Sisi kipindi hicho tulikuwa tunafanya nini?? Hapa ndipo issue ya IQ inapoibuka. Kuna mambo mawili hapa naona baadhi yetu tunataka kuchanganya. Elimu na IQ ni vitu viwili tofauti. Unaweza
kuelimika lakini IQ ni sifuri. Na huyu professor anaongelea Intelligency. It is not about Sumaye Kusoma Harvard University (elimu).
Hivi mlishawahi kujiuliza kwa nini mwafrika alimuuza mwafrika mwenzake wakati wa biashara ya utumwa? Uliwahi kusikia kuwa ufalme wa mwanamutapa ulikuwa na watumwa kutoka nchi za magharibi??
Angalia Nigeria. Pamoja na kuwa ni nchi ya tano kwa utajiri wa mafuta duniani, kuna matatizo makubwa ya umeme. Yet, Nigeria ina vyuo vikuu zaidi ya 40.
Hivi mmewahi kujiuliza ni nchi gani ya magharibi ambayo imewahi kuingizwa katika mikataba mibovu na wawekezaji kutoka afrika? Why afrika?? Is not the case that our IQ is both narrow and shallow??
Kwa kifupi mimi namuunga mkono huyo professor. Waafrika tutake, tusitake ndivyo tulivyo. IQ yetu ni ndogo, ndio maana tuna raslimali za kutosha lakini bado tunaomba misaada kutoka nje! Tuna hospitali ya muhimbili lakini viongozi wetu bado wanapata matibabu katika nchi za magharibi, tuna ardhi na mito ya kutosha lakini tumeshindwa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.
Najua akina kijakazi watasema, dereva wa Mercedez Benz na aliyetengeneza mercedez benz wote ni sawa, eti kwa sababu kila mmoja ana uwezo wa kuendesha Mercedez Benz.
Naomba kutoa hoja.
Je hao watu wenye akili kukuzidi wasingemchagua mtu kama joji bush.....ambaye alishinda kwa kura nyingi tuu mara ya pili ingawaje hao watu unaowaabudu walijua fika kwamba jamaa ni bomu kichwani, wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo inatumia pesa zao za kodi kwenda kuvamia nchi nyingine kwa manufaa yasiyo ya taifa bali ya watu binafsi,wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo asilimia 5 ya wananchi wanashikilia uchumi wa nchi nzima, wasingekubali kuishi ktk nchi ambayo matajiri tuu ndio wana bima ya maisha ingawaje watu wote wanalipa kodi, wasingekubali kusihi ktk nchi ambayo maskandali kama ya enroni ambapo mtu mmoja au wawili ametumia fedha na kufirisi moja kati ya mashirika makubwa dunia na kuteketeza akiba za uzeeni za watu zaidi ya 10,000 kwa manufaa yake binafsi kama wao wangekua na akili haya yote na mengineo mengi yasingetokea.... itaendelea
ebu naombeni msome huyu jamaa jibu lake la maswali yangu... alafu muone kama tutafika popote ktk kujadili hili swala, hivi kuna mahali mimi nimesema kwamba kusoma ulaya ndio kua na IQ nyingi? mimi nilichosema ni KWAMBA KAMA WAAFRIKA WANAAKILI/IQ NDOGO KAMA MNAVYODHANIA BASI WASINGEWEZA KUSOMA DARASA MOJA NA WATU WENYE AKILI NYINGI WA HUKO ULAYA MNAOWASEMA.. NA IKUMBUKWE KWAMBA WANAPOONGELEA IQ WANAMAANISHA AKILI ZA DARASANI NA UKITAKA KUJUA ANGALIA JARIBIO LA IQ LINAVYOFANYWA, KWA HIYO KAMA HICHO NDIO KIGEZO NDIO MAANA NIKAULIZA INAKUAJE WATU WENYE AKILI NDOGO WANAWEZA KUSOMA NA KUJADILI MAMBO NA WATU WENYE KUBWA NA MWISHOWE WOTE AU WALE WANAODHANIWA KUWA WANA AKILI NDODO NDIO WANAFAULU VIZURI.. NA NDIO MAANA NIKAULIZA NINI MAANA YA IQ?????? AU JARIBIO LAKE LINAFANYWAJE????; KUMBUKA SHULE MSINI TUNAFUNDISHA KWAMBA TAFADHALI SOMA KWANZA MASWALI UELEWE UNAULIZWA NINI KABLA YA KUANZA KUJIBU, WALE WALIOSEMA HIVYO WANA MAANA SANA, NA NI MOJA YA SABABU YA MIMI KUPATA POINT 4 DARSA LA KUMI NA NNE, KWA MAANA NILIKUA NA TABIA HIYO YA KUSOMA KABLA YA KUANZA KUANDIKAKijakazi, jina lako ni ushahidi tosha wa yale aliyoyasema Watson. Baada ya kufanywa na Mjakazi na kuhasiwa umebaki kuwa msenge unaetafuta mabwana kwa nguvu kwenye net.
Kwa akili yako ya kisenge kusoma vyuo vikuu vya ulaya ndio kuwa na IQ nyingi sio. Well if thats the case I have every reason now to agree with what Watson has said.......
Haya mwingine huyu mbona unajibu maswali nusu nusu, kwa nini hunijibu hayo mengine.......Ndugu yangu wewe Kijakazi, mfano au mlinganisho wako ni mbovu. Kwanza sidhani kama Joji Bushi ni zuzu au ni mtu asiye na akili. Tatizo lake yeye sio mzungumzaji mzuri na hilo halina uhusiano wowote na akili ya mtu. Kamwulize Al Gore au John Kerry...wamewahi ku-debate naye na kama unafuatilia kwa ukaribu siasa za Marekani nadhani utakuwa unajua hype iliyokuwepo kwa Gore na Kerry kwamba wangem-smash Bushi kwenye mdahalo because he is not all that intelligent....
Pili, Marekani wanaweza kufanya chochote kile wanachotaka kwa sababu wanaweza. Sasa unapolinganisha maamuzi ya kuivamia Iraq based on false intelligence, pretexts, and etc. na uozo unaoendelea Africa, una miss point...
SIYO HIVYO NYANI NGABU HAPA TUNAJADILI KUHUSU HOJA MWIZI WATSON YA KWAMBA WATU WEUPE WANA IQ KUBWA KULIKO WEUSI NA KIGEZO ALICHOTUMIA NI JARIBIO LA IQ... NA NDIO MAANA NAULIZA TENA HILO JARIBIO LINAFANYWAJE??????? NA NAOMBA JIBUI LA HILO SWALI JAMANI......Kijakazi unacho-miss wewe ni kudhania kwamba mafanikio ya darasani ndio kuwa na IQ kubwa. Kusoma mavitabu na kujadili dhana sio hoja na wala hilo halina rangi. Hoja ni Ingenuity.
SIYO HIVYO NYANI NGABU HAPA TUNAJADILI KUHUSU HOJA MWIZI WATSON YA KWAMBA WATU WEUPE WANA IQ KUBWA KULIKO WEUSI NA KIGEZO ALICHOTUMIA NI JARIBIO LA IQ... NA NDIO MAANA NAULIZA TENA HILO JARIBIO LINAFANYWAJE??????? NA NAOMBA JIBUI LA HILO SWALI JAMANI......
HIVI WEWE JUNA MATATIZO GANI LKNI MBONA UNAJIBU MASWALI JINSI UNAVYOPENDA WEWE UNACHOMOA KASENTENSI HALAFU UNGEUZA NDIO MAANA YA AYA NZIMA, iVI MIMI KWELI NIMESEMA HIVYO?????????????KWA HIYO UNAKUBALI KWAMBA WATU WEUPE WAKO MORE INGENIOUS KULIKO WATU WEUSI? NDIO AU HAPANA?
HIVI WEWE JUNA MATATIZO GANI LKNI MBONA UNAJIBU MASWALI JINSI UNAVYOPENDA WEWE UNACHOMOA KASENTENSI HALAFU UNGEUZA NDIO MAANA YA AYA NZIMA, iVI MIMI KWELI NIMESEMA HIVYO?????????????
YELE UWII YESU NA MARIA NA YOSEFU..........JIBU SWALI: NDIYO AU HAPANA?
....sasa unakuwa kama umepandwa na mashetani....kwikwikwikwiiiii
Ha ha mpe ile dozi yako labda itasaidia.
wew mwanamalundi ngoja nikuulize swali dogo/kubwa sana kwako naomba unipe nini maana ya IQ na naomba unieleze kisayansi kama inatumika na siyo jinsi unavyofikira wewe, kwa maana hicho ndicho kigezo cha msingi wote wa majadiliano haya na huyo MWIZI watson katumia kigezo cha IQ, baada ya hapo nitakujibu/kukuelezea maswali yako..asante
Mwanamalundi
Unamkoma nyani giladi hapahapa usoni!
Kwanza sidhani kama Joji Bushi ni zuzu au ni mtu asiye na akili. Tatizo lake yeye sio mzungumzaji mzuri na hilo halina uhusiano wowote na akili ya mtu. Kamwulize Al Gore au John Kerry...wamewahi ku-debate naye na kama unafuatilia kwa ukaribu siasa za Marekani nadhani utakuwa unajua hype iliyokuwepo kwa Gore na Kerry kwamba wangem-smash Bushi kwenye mdahalo because he is not all that intelligent....
Pili, Marekani wanaweza kufanya chochote kile wanachotaka kwa sababu wanaweza. Sasa unapolinganisha maamuzi ya kuivamia Iraq based on false intelligence, pretexts, and etc. na uozo unaoendelea Africa, una miss point...
...who is responsible kujenga hayo mazingira mazuri....mi sijui...labda yanaletwa na Mungu