Waachakachuaji wa thread ya Kitty Galore

Waachakachuaji wa thread ya Kitty Galore

Two things.. Koni ambayo inamhusu husny na ngabu.
Na thread ya kitty..
Hahaha! Husni kala koni ya Ngabu au lol?

Afu thread ya kitty si ilikuwa kule MMU huku imekujaje tena?
 
Hahaha! Husni kala koni ya Ngabu au lol?

Afu thread ya kitty si ilikuwa kule MMU huku imekujaje tena?
Sweety, tulikua ile thread ya Kitty kule MMU, the NN na Husny wakaaza kuongea vitu visivyo husiana na mada ya Kitty. Eventually NN drew me in nikajikuta hata mimi naongelea vya insomnia... so nikaona ni bora thread ihamishwe huku watu wachakachue wanavo taka, ile iendelee kutuelimisha.
Are you ok lakini?
 
Am ok RR....

Nimecheka sana hayo maamuzi ya kuhamisha wachakachuaji chit chat... Nzuri sana manake itasaidia kuturudisha kwenye mada... NN na Husninyo wakikutana popote lazima wachakachue , umewaweza haswa lol... Mie leo nimeponea chupu chupu.,..
 
Hivi kuna mchakachuzi anayekuzidi wewe? Hahahaaaa.....wewe ni sijapata kuona!
 
Nilijua tu swaiba hapa hutokosekana! Lol.....huku mmeletewa nyie wachakachuaji!
Hahaha! Swahiba mie leo nimejitahidi kwenye uzi wa kitty sijachakachua kabisa RR shahidi yangu... Huku wametupwa husni na ngabu wake lol...
 
Nahisi kuna hitima. Nimeskia harufu ya ubwabwa ila na huu utapiamlo nilionao MziziMkavu kamuagiza Husn niwe nakunywa bottle 2 za wine daily.
Hehehe! Subiri nikamtafute Husn akuletee1
 
ila huyu hamisi na mwaju, haya mie nawaangalia tu.

Hakuna kulia.
 
Hahaha! Husni kala koni ya Ngabu au lol?

Afu thread ya kitty si ilikuwa kule MMU huku imekujaje tena?

Shem,
Mimi najua mtu, kapitia saluni !
Kumbe mambo ndiyo haya ?
Shem,
vema nawe swaiba wake umeshuhudia !
Hii leo ya ngapi ?
Manyanga yanakwenda kunizidia uzito!
Nini rai yako shem?
 
Shem,
Mimi najua mtu, kapitia saluni !
Kumbe mambo ndiyo haya ?
Shem,
vema nawe swaiba wake umeshuhudia !
Hii leo ya ngapi ?
Manyanga yanakwenda kunizidia uzito!
Nini rai yako shem?
Hahaha! Shemu ngastuka na machale kundesa unanitega mchana kweupe...

Uporoto mwenzio yalimshinda akamwaga manyanga lol. Endelea kuvumilia bado mapema sana shem langu!
 
Hahaha! Shemu ngastuka na machale kundesa unanitega mchana kweupe...

Uporoto mwenzio yalimshinda akamwaga manyanga lol. Endelea kuvumilia bado mapema sana shem langu!
Umemuona deskmate wangu? Namtafuta.
 
Heee! Super mod ndio umetufanya nini hivi?
 
Shem,
Mimi najua mtu, kapitia saluni !
Kumbe mambo ndiyo haya ?
Shem,
vema nawe swaiba wake umeshuhudia !
Hii leo ya ngapi ?
Manyanga yanakwenda kunizidia uzito!
Nini rai yako shem?

hehehehe! Baby vumilia bwana. Lol.
 
Umemuona deskmate wangu? Namtafuta.
Khaaa, habari nilizonazo ni kwamba deskmate kafukuzwa shule baada ya kukamatwa kaiba simu ya mwalimu, tafuta deskmate mwingine Mwali...
 
Back
Top Bottom