Wa usoni yametepwereka mno

Wa usoni yametepwereka mno

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Posts
726
Reaction score
71
ingekuwa ni msichana mwenye busara basi angeyatafutia nguo itakayo yasitiri kwa njia moja au nyingine

2+%25284%2529.JPG
 
ingekuwa ni msichana mwenye busara basi angeyatafutia nguo itakayo yasitiri kwa njia moja au nyingine

2+%25284%2529.JPG

Hawa watoto siku nyingine washindanishwe vifua wazi tuone nani ni msichana. maana naona wote wazee. Ni mtazamo tu.
 
hiyo nguo si size yake kwanza .......kwapa ya nguo inataka kufika kiunoni huh!
 
Hawa watoto siku nyingine washindanishwe vifua wazi tuone nani ni msichana. maana naona wote wazee. Ni mtazamo tu.

Kama kwa Mswati siyo?Tatizo wanaaznza wakiwa wadogo sana.
 
Tatizo ni hao mamoderator hawajui wasichana wavaeje, matokeo ndo hayo watoto wanatia aibu hapa.
 
Kaazi kweli kweli. Hao mamiss vitongoji sijui miss kanda hawana wadhamini wala hawakai camp ya kuleweka, kila mtu anatumia ujuzi/uzoefu wake.
 
afadhali umeona. hiyo gauni hata kama ya kuazima angeipiga dart kila mahali walau imkae. na hizo nyonyo kama amblyoma,lol!kweli ushindi inategemea na washindishwanaji!
hiyo nguo si size yake kwanza .......kwapa ya nguo inataka kufika kiunoni huh!
 
sijui hiyo sadolin ilileta ndoo ya bluu tu?na huo wanj hao katikati wamepimia kisosi cha chai manake shurti jimstari hiloo!
na ayo mwawanja juu ya kope duu..utasema wamepaka ya SADOLINI...
 
lloooool huyo wapili utadhani samaki anakaangwa
meno ypte 32 nje lool tabasamu la kichina la
uongo
 
Back
Top Bottom