Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Hii nayo ni topic mwaka.....!!
Jirani yangu kikongwe anayepata chini ya UDS 1 priority yake ya kwanza ni kupata chakula cha kujaza tumbo (si mlo kamili kwani hawezi kuelewa maana yake na hata hawezi kuupata ikiwa ataelewa) ili asife njaa leo leo.. Kama atakufa kwa uchafu kesho hilo ni jambo jingine!
Ila angaweza kujipatia hana 10% ya kipato cha hao masikini wa Boston basi angekuwa na list ndefu tu ya priorities na naamini kwamba usafi ungekuwa kwenye tano bora!!