Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,328
- 115,336
Inazimwa tv na saa nyingine mnaambiwa fagieni ndio muondoke.Jirani akitaka kulala wote mnafukuzwa na TV inazimwa
Inazimwa tv na saa nyingine mnaambiwa fagieni ndio muondoke.Jirani akitaka kulala wote mnafukuzwa na TV inazimwa
Jirani yako ndiye adui yako kama hujui fahamu hiloKumjua vzr ilinipasa kwenda kuangalia TV kwa jirani
Muondoke muende kwenu na kesho atasafiri hvyo msirudiInazimwa tv na saa nyingine mnaambiwa fagieni ndio muondoke.
Msirudi Tena. Nimemiss enzi za ujamaa na kujitegemeaMuondoke muende kwenu na kesho atasafiri hvyo msirudi
Kujitegemea hakuna siku hiziMsirudi Tena. Nimemiss enzi za ujamaa na kujitegemea
Na kujitegemea kweli kabisa. Ila umenichekesha mdogo wangu nawe ni muhenga. Daah.Msirudi Tena. Nimemiss enzi za ujamaa na kujitegemea
Daah, unaniachaga hoiNa kujitegemea kweli kabisa. Ila umenichekesha mdogo wangu nawe ni muhenga. Daah.
Hoi bin taabanDaah, unaniachaga hoi
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Taaban bin kuchoka. Dada me muhenga mwenzio kila cku nakuambiaHoi bin taaban
Nakuambia hivi...umesikiaTaaban bin kuchoka. Dada me muhenga mwenzio kila cku nakuambia
Umesikia eti na thatsit naye muhenga lol. Ndio mana haachi kunitumia zile picha za wahenga wenzie.Nakuambia hivi...umesikia
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Wenzie wote wameenda kuwaona Everton yy yupo JfUmesikia eti na thatsit naye muhenga lol. Ndio mana haachi kunitumia zile picha za wahenga wenzie.
JF bwana, ina mambo.Wenzie wote wameenda kuwaona Everton yy yupo Jf
Mambo?JF bwana, ina mambo.
Mambo mazuri kabisaMambo?
Mambo sio mabayaa sanaa, sema uchumi unakabaMambo?
Shingoni ndio sehemu hatari sanaUnakaba wapi miguuni au shingoni
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Hatari sana, we bidada sijawahi kukuona lakini jinsi unavyoandika inatosha kudhihirisha hiloShingoni ndio sehemu hatari sana