supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Wanyama ni kama ndege tu sababu anapotoka tunduni asubuhi anakwenda kutafuta rizki hajui atakula nini kwa siku hiyo na kesho tenaMaisha yetu yana changamoto nyingi kuliko maisha ya wanyama.....!!
Tena hata kwenye bibilia ndege wametajwa hawalimi lakini wanakulaWanyama ni kama ndege tu sababu anapotoka tunduni asubuhi anakwenda kutafuta rizki hajui atakula nini kwa siku hiyo na kesho tena
Wanakula kile walichoruzukiwa na MunguTena hata kwenye bibilia ndege wametajwa hawalimi lakini wanakula
Mungu atujaalie amani idumu na neema za rasilimali ziinufaishe nchi hii adhimu !!!Wanakula kile walichoruzukiwa na Mungu
!!! Bado nazidi kushangaa kuona watu wanaendekeza rushwaMungu atujaalie amani idumu na neema za rasilimali ziinufaishe nchi hii adhimu !!!
Rushwa kuisha kabisa ni shughuli!!! Bado nazidi kushangaa kuona watu wanaendekeza rushwa
Shughuli nzito ni uthibitisho wa kumkamata aliyetoa rushwa na aliepokeaRushwa kuisha kabisa ni shughuli
Alipokea taarifa ya msiba wa kigogo huyu ndiye aliyekuwa nae huko Hospitali....Shughuli nzito ni uthibitisho wa kumkamata aliyetoa rushwa na aliepokea
Hospitali zetu hapa Tanzania hazina uwezo wa kuuguza na kuwapa matibabu mazuri waheshimiwa vigogoAlipokea taarifa ya msiba wa kigogo huyu ndiye aliyekuwa nae huko Hospitali....
Vigogo huenda kufia huko ng'ambo na hatimaye hulitwa maiti nchini kuzikwa na kuweka matanga, msiba na Simanzi zisizo na tija kwa mwananchi mnyonge........Hospitali zetu hapa Tanzania hazina uwezo wa kuuguza na kuwapa matibabu mazuri waheshimiwa vigogo
Yeye ni mlafi..........alimtabiria lowasa kifo, kaanza kufa yeye.
Mnyonge ni mtoto wa maskini aliyechaguliwa course ya MD halafu akakosa mkopo.Vigogo huenda kufia huko ng'ambo na hatimaye hulitwa maiti nchini kuzikwa na kuweka matanga, msiba na Simanzi zisizo na tija kwa mwananchi mnyonge........
Mkopo ni lazima kwa wanafunzi wa course za sayansiMnyonge ni mtoto wa maskini aliyechaguliwa course ya MD halafu akakosa mkopo.
Kisasa tunaendsna na fashion na tamaduni za wazunguSayansi ni uchawi wa kisasa
Sayansi ilikuwa ni zamani siku hizi ni siasaMkopo ni lazima kwa wanafunzi wa course za sayansi