Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Gesi ni mchanganyiko wa misingi minne ambayo huundwa na kutengeza mata,
Ikiwemo kioevu, imara, na plasima.
Kuna baadhi ya gesi ambayo pia imeundwa na kuleta molekula na kampaundi kama noble gesi, oxgeni gesi, na hali kadhalika.......
 
Kadhalika ndg goldie ink kwa wema na ujio wako huu tunaomba utupe taaluma kidogo juu ya uchanganuo wa gesi.....
 
Mtwara ni jina la mji na mkoa wa Tanzania.
Mkoa wa mtwara ni moja kati ya mikoa 26 inchini Tanzania, mkoa huu unapatikana kusini - mashariki ya Tanzania.
Ikiwa na 16,720 km2.
Mtwara ni mkoa mdogo kuliko yote Tanzania.
Wakazi wake wapatao 1,270,854. Na asilimia kubwa ni wanawake wapatao 53% pia mkoa wa mtwara una kabila linajulikana kama makonde.
 
Back
Top Bottom