Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Athari za tabia nchi husababisha tetemeko,mafuriko na ukame....!!Samahani nimepost bila kumalizia sentensi kwamba kudra ni nafasi finyu kwa mtu anayejitolea kutimiza malengo yake bila kujali athari.
ukame ndio uliopelekea tukose mazaoAthari za tabia nchi husababisha tetemeko,mafuriko na ukame....!!
Mazao yanahitaji kutunzwa ndani ya ghala zenye upepo na ubaridi wa wastan !!ukame ndio uliopelekea tukose mazao
Sikumuona mtu aitwae Wastan kwa kuwa neno wastani maana yake ni "kiwango cha kati" hivyo utasumbuka kumtafuta.....Wastan nilijaribu kumtafuta lakini sikumuona
Sikumuona mtu aitwae Wastan kwa kuwa neno wastani maana yake ni "kiwango cha kati" hivyo utasumbuka kumtafuta.....
Wako wapi walokuwa wakali sana? leo hii tunawangoja waje hapa tupambane !!!!Kumtafuta wastani ni rahisi sana, wajumlishe kisha wagawanye utapata wastani wako [emoji4]
Tupambane tu mimi na wewe Yaa Zamiluni maana wengine wamekimbiaWako wapi walokuwa wakali sana? leo hii tunawangoja waje hapa tupambane !!!!
Wamekimbia maji marefu.... Mie kwangu ni furaha na fakhari kupambana tafadhaliTupambane tu mimi na wewe Yaa Zamiluni maana wengine wamekimbia
Tafadhali naomba urudie kama kweli wamekimbiaWamekimbia maji marefu.... Mie kwangu ni furaha na fakhari kupambana tafadhali
Wamekimbia mjadala na kuacha ukumbi ukiwashangaa, walivyo kosa hoja !!Tafadhali naomba urudie kama kweli wamekimbia
Hoja yangu nijue mjadala unauzito gani mpaka wamekimbiaWamekimbia mjadala na kuacha ukumbi ukiwashangaa, walivyo kosa hoja !!
Wamekimbia mbiyo za hatuwa pana pana kwa kuwa hawana dalili wala ushahidi....Hoja yangu nijue mjadala unauzito gani mpaka wamekimbia
Ushahidi umepelekwa mahakamani eti wamevamiwa na kupigwa sana mpaka wamekimbiaWamekimbia mbiyo za hatuwa pana pana kwa kuwa hawana dalili wala ushahidi....
Wemekimbia mbiyo za mita 100 lakini hawakuambulia hata medali !!!Ushahidi umepelekwa mahakamani eti wamevamiwa na kupigwa sana mpaka wamekimbia
Medali zote ni feki ndo maana wadhamini wamekimbiaWemekimbia mbiyo za mita 100 lakini hawakuambulia hata medali !!!
wamekimbia ndukiMedali zote ni feki ndo maana wadhamini wamekimbia
Nduki waliyotoka sikuamaini nikabaki kufuta vumbi usoni.....wamekimbia nduki
usoni erikson au usoni wega?Nduki waliyotoka sikuamaini nikabaki kufuta vumbi usoni.....
Wega wee gawa tu, siku moja utalipa gharama au utakodisha Erikson !!usoni erikson au usoni wega?