Wa mwisho ndiyo mshindi

Nyingi sana nimekula za wadada wa jamiiforums.

Jamiifourums ni kisiwa kikubwa chenye Watu wa kila aina.ukijifanya Wewe msomi wako wasomi maelfu wenye shahada nyingi,ukijifanya mjuaji wako maelfu Walio bobea ujuwaji,ukijifanya Wewe tajiri wako maelfu wanautajiri wa ajabu.Kwa ujumla ichi kisiwa ni cha kuchota Elimu.
 
Elimu ya kuzama chumvini(uvinza)nimeipata jamiiforums hasa jukwaa pendwa la MAHUSIANO,MAPENZI NA URAFIKI(MMU)
 
Unafiki huwaga siupendagi kwa kweli mgogoone

Naomba niwe rafiki yako wa hiari
Hiari ni uamuzi wa kufanya jambo lolote bila kulazimishwa au kushawishiwa na mtu yeyote na kutojutia matokeo ya jambo hilo utakalolifanya kama yatakuwa mazuri au mabaya baadae.
 
Hiari ni uamuzi wa kufanya jambo lolote bila kulazimishwa au kushawishiwa na mtu yeyote na kutojutia matokeo ya jambo hilo utakalolifanya kama yatakuwa mazuri au mabaya baadae.

Baadae nitakuwa Wa kusoma na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…