Wa mwisho ndiyo mshindi

Wenzake nane nane akina saba saba walishamaliza kuhesabu mapato asa hivi wanafatilia olimpic
 
mashabiki wanaoshabikia timu zinazoendeshwa kama Simba na Yanga ndiyo wanaua soka la Bongo
 
soka ni pesa na sisi tunataka wenye pesa watoe pesa bila ya kuwa na faida ya pesa wanayotoa
 
wanayotoa wanapokuwa na nafasi waje wanipe ushindi kwani mimi ndiyo wa mwisho wengine wote hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…