Wa mwisho ndiyo mshindi

Brazil tumewakilishwa au ndio marufuku za kwenda nje ya nchi zinaendelea.
 
hapa bajeti tu....! hakuna namna; Ila mkuu wa nchi ahangalie kwa upya ila suala la safari za nje, lina/litatunyima furusa nyingi.
 
Nzuri ni zile zenye manufaa kwa taifa.
 
Taifa la Tanzania Lina raslimali za kutosha kujiendesha bila kutegemea msaada ktoka ughaibuni
 
Kujitambua n jambo la muhim Sana katka maisha ya ujana
 
Mchezo wenu umekwisha, au mimi niliyezamia dakika za mwisho ndiyo nimekuwa mshindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…