Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
( mtebetini , Blaki Womani , Mainus , mgogoone , Turnoff na wndg.wengine )
Ulipotoka umeacha historia na uendako utimize yako maazimio....
( mtebetini , Blaki Womani , Mainus , mgogoone , Turnoff na wndg.wengine )
Ulipotoka umeacha historia na uendako utimize yako maazimio....
Yazingatiwe maelekezo na kanuni za mikataba.......maazimio kwenye uzi huu lazima yazingatiwe
Yazingatiwe maelekezo na kanuni za mikataba.......
Rehani ilipaswa kusimamiwa kwa muda mfupi na siyo moja kwa moja kiholela....Mikataba mibovu inapelekea rasilimali za nchi kuwa rehani
Kiholela kumetupotezea mengi sasa masharti na vigezo kuzingatiwaRehani ilipaswa kusimamiwa kwa muda mfupi na siyo moja kwa moja kiholela....
Kuzingatiwa huwepo pale panapo kuwa na ufuatiliaji wa kina kwa wahusika......Kiholela kumetupotezea mengi sasa masharti na vigezo kuzingatiwa
Mahakamani ni sehemu ya mwisho ya madai ya haki.....Wahusika wa ubakaji uko morogoro Leo wamefikishishwa mahakamani
Poorbillionaire Duuh !! hapo nimepotea.. nini maana ya jakamoyo ? kwangu ni jipya...Haki ikitendeka sawa vinginevyo itakuwa ni jakamoyo
Hahaha !Nani kasema Tanzania ni mbayaHahahah kubalini kuwa mi ndo mshindi then ntasema maana yake hahahaah
Inapopindishwa jakamoyo,haijapindishwa ila imeulizwa nini maana yake na Al-habib Zamiluni Zamiluni,jibu Jakamoyo ni kupata wasiwasi wa MoyoJakamoyo matokeo yake ni mabaya pale haki inapopindishwa.
Zamiluni jakamoyo maana yake ni donda roho.Poorbillionaire Duuh !! hapo nimepotea.. nini maana ya jakamoyo ? kwangu ni jipya...
Wasiwasi wa moyo unapozidi utapata ugonjwa wa shinikizo la moyo,vidonda vya tumbo na hata ugonjwa wa sononeko.Inapopindishwa jakamoyo,haijapindishwa ila imeulizwa nini maana yake na Al-habib Zamiluni Zamiluni,jibu Jakamoyo ni kupata wasiwasi wa Moyo
Sononeko la moyo ni ugonjwa mgumuWasiwasi wa moyo unapozidi utapata ugonjwa wa shinikizo la moyo,vidonda vya tumbo na hata ugonjwa wa sononeko.
Sononeko la moyo ni ugonjwa mgumu
Moyo ni kama injini ya mwili ni vyema kupima AfyaMgumu kama Mimi hana sononeko la moyo
Moyo ni kama injini ya mwili ni vyema kupima Afya