Wa mwisho ndiyo mshindi

Zote tisa kumi hivi huu uzi toka 2012 hauishi kweli?
 
Zote tisa kumi hivi huu uzi toka 2012 hauishi kweli?
Kweli humu kuna watu wabishi yani kuna sentensi wanaanzisha kwakulazimisha kabisa wakati mwingine hazina maana kimantiki ilimradi wapokonye ushindi wa mtu,,sasa nasema hivi acheni maramoja..!!
 
Maramoja kijeshi au sio, ila hii kwangu itakuwa ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…