Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Kitu gani kinakufanya uipende CCM
Nalog off
Nalog off
CCM ni chama cha mapinduziKitu gani kinakufanya uipende CCM
Nalog off
Mapinduzi ya Zanzibar yana maana kubwaCCM ni chama cha mapinduzi
Kudemka ndo kitu gani?
Goti langu linauma baada ya kuangukaKucheza bila kukunja goti...
You guy, you are not serious
What serious about my friend? You came here to find seriousness on what matters exactly?You guy, you are not serious
Exactly,? follow the rules of the game not to bring other emotionsWhat serious about my friend? You came here to find seriousness on what matters exactly?
Emotions drive me crazy sometimes, okay let's goExactly,? follow the rules of the game not to bring other emotions
Mademu wanatuponza siku zoteLet's go kutafuta mademu
Nalog off
Zote credit zilimuendea yeye mpaka jamaa akataka kuharibu uzi kwasababu yake yeyeMademu wanatuponza siku zote
Yeye alipendwa sana, sijawahi ona upendo wa namna hiyoZote credit zilimuendea yeye mpaka jamaa akataka kuharibu uzi kwasababu yake yeye
Hiyo ya huyo dogo? bado anatoa mistariYeye alipendwa sana, sijawahi ona upendo wa namna hiyo
Mistari ya ya gwaride la jeshi huwa imenyooka sanaHiyo ya huyo dogo? bado anatoa mistari
Sana sana wakipata mafunzo ya uhakikaMistari ya ya gwaride la jeshi huwa imenyooka sana
Uhakika wa kula milo mitatu ndio kitu wamekosa watanzania wengiSana sana wakipata mafunzo ya uhakika
Wengi wamepanda, wengi wameshuka, tuishi kwa upendoUhakika wa kula milo mitatu ndio kitu wamekosa watanzania wengi
Upendo upi tenaWengi wamepanda, wengi wameshuka, tuishi kwa upendo