Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Sanaa ya kizazi kipya inatia kichefuchefuIkanyesha mvua kubwa sana
Sanaa ya kizazi kipya inatia kichefuchefuIkanyesha mvua kubwa sana
Kichefuchefu vipi tena, kwani si tulisema tunakwenda na Dkt Mpango?Sanaa ya kizazi kipya inatia kichefuchefu
Mpango imara tutasimama kuonesha ulimwengu kuwa tunaweza !!Kichefuchefu vipi tena, kwani si tulisema tunakwenda na Dkt Mpango?
Tunaweza kulala njaa leo maana chakula kimeishaMpango imara tutasimama kuonesha ulimwengu kuwa tunaweza !!
Kimeisha kweli si utani hata punje!Tunaweza kulala njaa leo maana chakula kimeisha
Punje ya mtama yaweza mnasa njiwa...Kimeisha kweli si utani hata punje!
salamu kwa wangu muhibuNjiwa peleka salamu
Muhibu ni lugha gani?salamu kwa wangu muhibu
Lugha gani mlikuwa mkibonga kabla ya kupewa na waarabu ?Muhibu ni lugha gani?
Mweupe pee na Weusi tii wote wapo Mseto...Waarabu ni weupe
Mseto ni aina ya chakulaMweupe pee na Weusi tii wote wapo Mseto...
Watamu kama asali
Asali feki imejaa sokoni hadi unashangaa...Watamu kama asali
Zimejaa kwa Sababu zilijazwa kemkem...Unashangaa nini wakati hata simu feki zimejaa
Zilijazwa kemkem na mamlaka za viwangoZimejaa kwa Sababu zilijazwa kemkem...
Viwango vyetu vinashikilia nafasi nzuri sokoni..Zilijazwa kemkem na mamlaka za viwango
Sokoni kwa lugha nyingine ni MarketViwango vyetu vinashikilia nafasi nzuri sokoni..