Mashallah!ila huyu T 1990 ELY huwa anatafuna au napulizaMwanamke! Mimi ni mwanaume tena shababy Mashallah


Napuliza na kung'ata
Kung'ata unaweza wewe maana akila zako huwa zinanifurahishaNapuliza na kung'ata


Zinanifurahisha zile swaga za jamaa ayesemaga sema koma mtoto wa dada
Dada ni ndugu yako wa kikeZinanifurahisha zile swaga za jamaa ayesemaga sema koma mtoto wa dada
Kikeni ndo sehemu ipi/gani ya mwili wa binadamu?
Binadamu sio watuKikeni ndo sehemu ipi/gani ya mwili wa binadamu?
Watu ni wajanja mnoBinadamu sio watu
Mno zaidi ya mno, lakini ujanja wao ni wa kijingaWatu ni wajanja mno
Kijinga kivipi wkt wanatengeneza pesaMno zaidi ya mno, lakini ujanja wao ni wa kijinga
Pesa ina mambo mengi na ukiiendekeza itakupotezea heshima yakoKijinga kivipi wkt wanatengeneza pesa
Pesa ni thamani lakini noti ni karatasi. !!Kijinga kivipi wkt wanatengeneza pesa
Heshima yako ndiyo thamani ya utu wako kutukuzwa...
Kutukuzwa watu wengine wanapenda sanaHeshima yako ndiyo thamani ya utu wako kutukuzwa...
Wanapenda sana kuwahurumia wajane, mayatima na maAjuza !!
Maajuza tuwapende na kuwatunza maana walitutunza pia hapo nyuma.Wanapenda sana kuwahurumia wajane, mayatima na maAjuza !!