Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Baadaye zitakuja hadithi za ilikuwa hivi au vile!!Kuadhibu kwa maneno au vitendo kwa kuirushia lawama serikali, wakati mwingine huleta madhara zaidi badala ya kujenga; huu ni muda mwafaka wa kujenga kizazi bora cha baadaye

