Wa mwisho ndiyo mshindi

Kweli ila angalia isije siku ukapitiliza moja kwa moja kuzimu
 
kuzimu mbona kuzuri sana tuuu, sheikh kipozeo kapasifia sana kwenye clip zake
 
Ziada ya mapenzi yangu siitunzi.Mapenzi yote kabisa kwa mwandani wangu,sweetheart,mrembo wangu #Mwana .
 
Ziada ya mapenzi yangu siitunzi.Mapenzi yote kabisa kwa mwandani wangu,sweetheart,mrembo wangu #Mwana .
mwana, mwana..... Mwana nini? ukiendekeza mambo ya vimwana huu uzi hautafika mwisho na mshindi hatopatikana
 
Last edited by a moderator:
Kwelikweli nawapa pole wote mnachangia uzi huu maana hamtashinda na kwelikweli nampa Hongera #Mwana kwa ushindi unaonukia
 
Unaonukia vizuri hasa ni udi kutoka arabuni,ushawahi'kukutana nao wewe
 
Mazoea hujenga tabia, na mara nyingi huwa ni za kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…