Wa mwisho ndiyo mshindi

Jembe tuu? Hujamtendea haki Lowassa ni zaidi ya jembe na shoka.
 
Shoka ni ile gongo ya kwanza kabisa kutoka kabla haijazimuliwa
 
Heaven on Earth hajambo? Nami nimezipokewa binafsi pamoja na my dear Mwana(amesinzia maana punde). Mwambie Heaven on Earth kwa nini kanisusa?
 
Kanisusa ata mimi, ila juzi juzi alikua analalamika MMU kua hana kifurushi
 
Kifurushi ni muhimu jamani , bila ya ni kama dunia imesimama. Salaamu za b5-click na Pepsin nazipokea kwa mikono miwili.
 
Kifurushi ni muhimu jamani , bila ya ni kama dunia imesimama. Salaamu za b5-click na Pepsin nazipokea kwa mikono miwili.

Miwili how wakati mkono mmoja umeshika simu. Ila ata hivyo mkuu umejiandikisha?
 
Miwili how wakati mkono mmoja umeshika simu. Ila ata hivyo mkuu umejiandikisha?

umejiandikisha? jamani hilo si la kuuliza , kila siku nachungulia BVR card yangu mpaka October 25 kuweka mambo sawa!
 
Hawa CCM mwaka huu watakijua kilichomnyonyoa kanga manyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…