MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,094
Kichakani kuna nyoka
Nyumbani ni nyumbani hata kichakani
Nyumbani ni nyumbani hata kichakani
Nyoka ni hatari sanaKichakani kuna nyoka
Hatari sana zaidi ya watuNyoka ni hatari sana
Watu wengi naogopaHatari sana zaidi ya watu
Naogopa kukaa mwenyewe nyumba kubwa Fanya urudi tujenge familiaWatu wengi naogopa
Familia ni muhimu ila uje kwetu kwanzaNaogopa kukaa mwenyewe nyumba kubwa Fanya urudi tujenge familia
Kwanza nitakuja ila sasa mzee wako bado sijamkamilishia mahariFamilia ni muhimu ila uje kwetu kwanza
Mahari jitahidi umalize fasta week hii nihamie mazima hukoKwanza nitakuja ila sasa mzee wako bado sijamkamilishia mahari
Mahari jitahidi umalize fasta week hii nihamie mazima huko
Sana sana ulofa umekuvaa..Huko uliko nakukumbuka sana
Umekuvaa au umekufaSana sana ulofa umekuvaa..
Umekufa kabla ya kutimiza ndoto zakoUmekuvaa au umekufa
nimeufunga uzi rasmiUmekufa kabla ya kutimiza ndoto zako
Rasmi nimekuwa mshindinimeufunga uzi rasmi
Uliojiachia kizembe hadi ukatumbuliwa!!Tipwa tipwa ni Mtu mwenye mwili mkubwa uliojiachia.
Ukatambuliwa kama dasUliojiachia kizembe hadi ukatumbuliwa!!
Das nayo ilojifanyaga njemaUkatambuliwa kama das


kumbe hamna kituKitu ndani ya boxDas nayo ilojifanyaga njemakumbe hamna kitu
Box niliowekea chupa zangu za beer umeeka wapi ?Kitu ndani ya box