kevoDK
Senior Member
- Dec 20, 2018
- 152
- 78
Kujifukiza kuna saidia
Saidia mama na mtoto okoa kizaziKujifukiza kuna saidia
Kizazi ni cha muhimu kwa watu woteSaidia mama na mtoto okoa kizazi
Wote tuseme AminaKizazi ni cha muhimu kwa watu wote
Hivyo hivyo amina ni jina la mtu
mtu kwaoHivyo hivyo amina ni jina la mtu
Hiki nini?
Hiki kilichovimba hapa ni kitumbua na ninakila sasa hv ndio nilale .Hiki nini?
YGM
Wazimu gani mzee?Nilale bila kula kitumbua? We una wazimu?
Mzee yoel..si wa kulala bila kula?Wazimu gani mzee?
YGM
Blood ya mzee inavamiwa na virusi kwa wepesi..Kula ni muhimu blood
YGM
Wepesi wa mwanamke ktandani hupendeze sabab hufany kitanda kuwa na mvutoBlood ya mzee inavamiwa na virusi kwa wepesi..
Mvuto wa mazingira ni usafi wa makazi...Wepesi wa mwanamke ktandani hupendeze sabab hufany kitanda kuwa na mvuto
Sent using Jamii Forums mobile app
Makazi yetu ya kidumu ni mbinguni kwa BABA hapa duniani tunapita tu na yatupasa kujiandaa muda na wakati wowoteMvuto wa mazingira ni usafi wa makazi...