Wa mwisho ndiyo mshindi

hizi ni zama za kila mtu kujificha asitambulike. Khe kumbe mimi ndiyo mshindi. Asanteni nyote mlioshiriki na asante sana Wambuzi kwa kuubuni mchezo huu. Haya mwingine aanzishe mchezo mwingine huu ndiyo umeshafungwa rasmi.
 
Back
Top Bottom