chagga dady
Member
- Mar 20, 2019
- 31
- 23
Nyundo ya baruani
Sana tu ni msemo wa zamani kidogoMawazo yako manzuri sana.
Kidogo chenye kudumu ni Bora kuliko kingi chenye masimango !!Sana tu ni msemo wa zamani kidogo
Nalog off
!! Ni alama ya mshangao
? Hii Wanaiita alama ya kuulizaMshangao????
Potea ili usikutane na watu wasiojulikanaOFF YOU GO!! MAANA YAKE KULA KONA AU POTEA
Wasiyojulikana ndiyo waliyovujisha Siri..Potea ili usikutane na watu wasiojulikana
Nalog off
Siri ya mtungi aijuaye Kata.Wasiyojulikana ndiyo waliyovujisha Siri..
kata funua lkn 2020 lzm nichukue form ya kugombania urais kwa ticket ya ccmSiri ya mtungi aijuaye Kata.
kata funua lkn 2020 lzm nichukue form ya kugombania urais kwa ticket ya ccm
Nalog off
Fisi mzee wa mizogaZamani zakale alitokea sungura na fisi
Mizoga hata tai anaipenda sana.Fisi mzee wa mizoga
Nalog off
Sana ila tai anapenda steki hataki mifupaMizoga hata tai anaipenda sana.
mifupa ikikomaa ni ngumu sana kuvunjika.Sana ila tai anapenda steki hataki mifupa
Kuvunjika kwa mpini siyo mwisho wa KULIMA..mifupa ikikomaa ni ngumu sana kuvunjika.
Nalog off
kulima ukilima kisasa lzm uwe tajiri halafu wavivu watakuita fisadiKuvunjika kwa mpini siyo mwisho wa KULIMA..