life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Taifa letu Lina hadhi ya kutambulika ...Kiswahili lugha ya taifaa ya taifaײ
Taifa letu Lina hadhi ya kutambulika ...Kiswahili lugha ya taifaa ya taifaײ
kutambulika natambulika sana kitaifa na kimataifaTaifa letu Lina hadhi ya kutambulika ...
Kimataifa wewe washawasha unatafutwa !!kutambulika natambulika sana kitaifa na kimataifa
Nalog off
unatafutwa na watu wasiojulikana ili umpigie makofi muheshimiwa,maana wamejitahidi kukubambikia kesi ila umewashinda.Kimataifa wewe washawasha unatafutwa !!
Umewashinda Majirani zako kwa misaada !!unatafutwa na watu wasiojulikana ili umpigie makofi muheshimiwa,maana wamejitahidi kukubambikia kesi ila umewashinda.
Nalog off
Misaada ya?Umewashinda Majirani zako kwa misaada !!
ya hapa hapa kwenye jukwaa letuMisaada ya?
Letu limepitwa na wakati tunangojea jipya.ya hapa hapa kwenye jukwaa letu
Jipya kabisa lile daraja la kigamboni,kama vipi serikali jengeni barabara wilayani Mafia.Letu limepitwa na wakati tunangojea jipya.
Mafia ni kisiwa chenye mvuto ...Jipya kabisa lile daraja la kigamboni,kama vipi serikali jengeni barabara wilayani Mafia.
Nalog off
Mvuto wa kitaifaMafia ni kisiwa chenye mvuto ...
kiTaifa Tanzania inaongoza kwa Kasi...Mvuto wa kitaifa
Kasi gani?kiTaifa Tanzania inaongoza kwa Kasi...
Kasi gani iliyo sababisha ajali...?Kasi gani?
Ajali ya?Kasi gani iliyo sababisha ajali...?
Allahu Akbar Allahu Akbar waLillahi alHamd...
Yanga imara kabisaaa. Haya nimefurahi kusikia uzima wako binamu. Wasalimie.Allahu Akbar Allahu Akbar waLillahi alHamd...
Nataraji Hali yako Muruwa na yanga imara!!!
Imara simama ili nawe uchukue form ya kugombania urais 2020 kwa tiketi ya ccmAllahu Akbar Allahu Akbar waLillahi alHamd...
Nataraji Hali yako Muruwa na yanga imara!!!
Log offImara simama ili nawe uchukue form ya kugombania urais 2020 kwa tiketi ya ccm
Nalog off