mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,052
- 1,702
Nyumba Kila mtu anatamani kumiliki lakini mfuko ndio tatizo
House girl ndie nyumba ndogo ya baba mwenye numba..
House girl ndie nyumba ndogo ya baba mwenye numba..
tatizo lako ni manylove. Afadhari ungekuwa dadlove.Nyumba Kila mtu anatamani kumiliki lakini mfuko ndio tatizo
Dadlove ni penzi la baba kwa mtoto waketatizo lako ni manylove. Afadhari ungekuwa dadlove.
Wake wa mabalozi jee nao huwakilisha taifa?Dadlove ni penzi la baba kwa mtoto wake
Taifa litajengwa na vijana wenye moyoWake wa mabalozi jee nao huwakilisha taifa?
Moyo wa binadamu hugeukageuka bila msimamo!!Taifa litajengwa na vijana wenye moyo
Msimamo kwa kiongozi mwenye kutoa maamuzi ni kitu muhimuMoyo wa binadamu hugeukageuka bila msimamo!!
Mmoja wetu leo Lazima aachie ngazi.!!Msimamo Wangu ni kuwa na mwanamke mmoja
Ngazi ikiwa ndefu waweza pandia Mnazi.Mmoja wetu leo Lazima aachie ngazi.!!
Mnazi mmoja ndipo chanzo na historia ya Pwani..Ngazi ikiwa ndefu waweza pandia Mnazi.
Pwani Imekua chanzo Mnazi mmoja !!nachekaaMnazi mmoja ndipo chanzo na historia ya Pwani..
Nachekaaa kuona mnazi mmoja imekuwa vurugu!Pwani Imekua chanzo Mnazi mmoja !!nachekaa
Vurugu ni pale Unapopanda Daladala Af Nauli Umesahau HomeNachekaaa kuona mnazi mmoja imekuwa vurugu!
Home sweet home pasipo julikanaVurugu ni pale Unapopanda Daladala Af Nauli Umesahau Home
Julikana kote Ila katika nyuzi hii Wa mwisho hajulikaniHome sweet home pasipo julikana
Hajulikani alipotokomea baada ya kuvunja jelaJulikana kote Ila katika nyuzi hii Wa mwisho hajulikani
Hajulikani kwa kua huu uzi hautakiwi ufike mwishoJulikana kote Ila katika nyuzi hii Wa mwisho hajulikani
Mwisho na Wala si mwisho bali ndo mwanzo...Hajulikani kwa kua huu uzi hautakiwi ufike mwisho
Mwanzo wako kuna mtu atakupokeaMwisho na Wala si mwisho bali ndo mwanzo...