Mario hua aeshimiwi kama Pierre liquid na ndio maana Pierre atabaki kuwa juu kileleniVijana wengi tatizo siku hizi wanapenda miteremko ndo maana kuna ongezeko kubwa la marioo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kileleni saaingine huwa n kaz kupafikiaMario hua aeshimiwi kama Pierre liquid na ndio maana Pierre atabaki kuwa juu kileleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupafikia kileleni palipofikiwa na wengine wakati meingine vigumu kweli
Kweli ni pagumu kupafikia ila inawezekana usipokata tamaaKupafikia kileleni palipofikiwa na wengine wakati meingine vigumu kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamaa ya mwanamke ipo kwa mumewe
mawazo mengi hupoteza mudalock haitoki bar ladba upunguze mawazo
mumewe anahasiraTamaa ya mwanamke ipo kwa mumewe
mumewe anahasira
Hasara ni matokeo ya matumizi kuwa makubwa kuliko mapatoHasira hasara
Mapato mengi ya wanaume yanaishia kwa mchepuko
Mchepuko haufai baki njia kuuMapato mengi ya wanaume yanaishia kwa mchepuko
Kuu kuliko mwamba wa mlima sekenke !!
Sekenke ni milima iliyoko wapi vileK
Kuu kuliko mwamba wa mlima sekenke !!
Mji uliyopo Karibu na mlima Sekenke ni Singida..
Singida ni mkoa ambao wanaishi wanyaturuMji uliyopo Karibu na mlima Sekenke ni Singida..
Wanyaturu wamebarikiwa na Mungu..
Wanyaturu wamebarikiwa na Mungu..