Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,841
Dhambi ni pale wanaposema Nondo alijiyeka wakati wamemteka.Maandamano hewa yatazuiliwa kihewahewa-uoga ni dhambi.
Dhambi ni pale wanaposema Nondo alijiyeka wakati wamemteka.Maandamano hewa yatazuiliwa kihewahewa-uoga ni dhambi.
Wamemteka kwa sababu wanaogopa kuanikwa yao maovu.Dhambi ni pale wanaposema Nondo alijiyeka wakati wamemteka.
Maovu kwa weekend hii, au ipi?Wamemteka kwa sababu wanaogopa kuanikwa yao maovu.
Ipi ni njia sahihi ya kutongoza Mtoto wa kishua.Maovu kwa weekend hii, au ipi?
Kishua co mpangoIpi ni njia sahihi ya kutongoza Mtoto wa kishua.
Mpango mzima nikuandaa mitaala bora ya Elimu.Kishua co mpango
Elimu ya bongo sikuhizi ni kama kucheza BikoMpango mzima nikuandaa mitaala bora ya Elimu.
Biko mshiko nje nje kamata fedhaElimu ya bongo sikuhizi ni kama kucheza Biko
Fedha zenyewe zinatolewa kwa taaabuBiko mshiko nje nje kamata fedha
Taabu wanayoipata watanzania chanzo ni viongozi fisadi.Fedha zenyewe zinatolewa kwa taaabu
Fisadi siku zote hujijali mwenyeweTaabu wanayoipata watanzania chanzo ni viongozi fisadi.
Mwenyewe ndo alietuomba tumpigie kulaFisadi siku zote hujijali mwenyewe
Mwenyewe unakuta unafanya kazi tembo mshahara sisimiziFisadi siku zote hujijali mwenyewe
Sisimizi ni wadogo sanaMwenyewe unakuta unafanya kazi tembo mshahara sisimizi
Wadogo sana lakini wana ushirikianoSisimizi ni wadogo sana
Ushirikiano ni mzuriWadogo sana lakini wana ushirikiano
Ni mzuri kama wote mtakuwa na lengo mojaUshirikiano ni mzuri