Kaka ake emmy ni mfano wa mwana aliyekunjika; Yaani aliyeoneshwa akatazama, aliyeambiwa akaambilika, aliyeonywa akaonyeka, n.k. Huyo baraka za wake wazazi huwa mwamvuli wake daima.
Mwiko kuwakacha na kuwasolola wana wa jangwani.Daima mbele nyuma mwiko
Tena akitoka madarakani aelekee mwenyewe maweni TangaZamani ilishapita hairudi tena!
Tanga, waja leo na kuondoka leo!Tena akitoka madarakani aelekee mwenyewe maweni Tanga
Leo huondoki, hyo ilikuwa Tanga ya zamani. Tanga ya kileo waja leo kuondoka mpaka nguo zikauke(majaliwa)Tanga, waja leo na kuondoka leo!
Leo huondoki, hyo ilikuwa Tanga ya zamani. Tanga ya kileo waja leo kuondoka mpaka nguo zikauke(majaliwa)
Ufafanuzi wa nini bbc. Alichosema ni kweli kabisa karibu sanaZikauke, hebu ammyta akuje hapa kutoa ufafanuzi
Karibu sana TA mji wenye ustaarabu kiasi kikubwa.Ufafanuzi wa nini bbc. Alichosema ni kweli kabisa karibu sana
Kiasi kikubwa Tanga imebarikiwa hatuna budi kujivuniaKaribu sana TA mji wenye ustaarabu kiasi kikubwa.
Kikubwa kitakiwacho katika uzi huu ni kuchangia, vinginevyo mimi nimeshinda.Karibu sana TA mji wenye ustaarabu kiasi kikubwa.
Nimeshinda tiketi ya bure ya basi kwa safari ya kuelekea Zimbabwe.Kikubwa kitakiwacho katika uzi huu ni kuchangia, vinginevyo mimi nimeshinda.
Zimbabwe ilikuwa nchi mojawapo tajiri kusini ya jangwa la Sahara lakini sasa hoi!Nimeshinda tiketi ya bure ya basi kwa safari ya kuelekea Zimbabwe.
Kiuchumi siko vizuri kipindi hiki cha awamu ya tano
Tano, kidogo ifanane na TANU, chama cha enzi zile. " Kumekucha jama kumekucha, majogoo vijijini yanawika, hata na jua Mbinguni linatoka....."Kiuchumi siko vizuri kipindi hiki cha awamu ya tano
Inaondoka inaelekea wapi