Wa mwisho ndiyo mshindi

Wapi watakuwepo hata sijui mana nami pia nimewakumbuka pia
Pia hata sisi tumewamisi pia, ni majukumu tu daderi wangu emmyta. Nilisafiri kimtindo kwenda nyara huko, nkaona umetuita ila mtandao ukawa chini sana, na hata kupotea.
Usisoneneke sana, maana mpaka kamoyo kanauma yani.
 
Yani jinsi ulivyomuongo, hamna wa kukuamini hata kidogo
 
Pia hata sisi tumewamisi pia, ni majukumu tu daderi wangu emmyta. Nilisafiri kimtindo kwenda nyara huko, nkaona umetuita ila mtandao ukawa chini sana, na hata kupotea.
Usisoneneke sana, maana mpaka kamoyo kanauma yani.
Yaani mi ndio kameniuma zaidi kwa kutokukuona siku zote hizo kaka ake. Kwema lakini utokako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…